Recent content by Vumilika

  1. V

    JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani itashambulia Iran 'vibaya mno' usiku wa leo

    Mexico waliwashambulia sana S.Africa ndicho alichomaanisha Trump kwa usiku wa jana.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani itashambulia Iran 'vibaya mno' usiku wa leo

    Sisi waswahili haya mambo tumeyazoea kwenye khanga tu, kama kidume afanye kweli.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kwa Heri Dar (Mkoani) Karibu Dodoma HQ. Serikali Kuifanya Dodoma kuwa Kitovu Kikuu Cha Uchumi wa Nchi

    Bora mtatupunguzia zahma kwa kweli.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani itashambulia Iran 'vibaya mno' usiku wa leo

    Atuwache kwanza world cup inaanza.
  5. V

    JamiiForums Tanzania HOJA Nimetapeliwa Milioni 5 na Tapeli wa Forex, watu wajihadhari. Mamlaka zichukue hatua

    Wewe unabahati umepoteza mil 5, miaka kama mitano au sita nilipoteza $25,000/- kwa mambo hayo ya online business za Forex, ndipo nikaamini hakuna short cut kwenye mafanikio, kila kitu kina mchakato wake.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Zanzibar nao wanataka kuwatimua wabongo. Tukianza mambo ya uzawa hapa sio muda jamii zenye watu wenye akili ndogo zitamenyeka haswa

    Msitu unaweza kuteketea kwa cheche chache za moto kwenye nyasi kavu, hapa naona kuna dalili za kuteketeza nchi yetu pendwa kwa hizi ajenda za kibaguzi za wale waislamu na hawa wakristo, wale Wazanzibari na hawa Watanganyika, tuombe hili jambo lisipewe nafasi katika fikra zetu kwani majuto yake...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Zanzibar nao wanataka kuwatimua wabongo. Tukianza mambo ya uzawa hapa sio muda jamii zenye watu wenye akili ndogo zitamenyeka haswa

    Ajenda za kufukuza watu kwenye nchi zao Trump ndiye champion wao halafu ikafuatiwa na South Afrika, hizi ajenda zipo za kuwapoteza watu kutoka kwenye mambo yao ya msingi, ulimwengu wa sasa watu wanatakiwa wawe kitu kimoja siyo kufukuzana.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Augustino Lissu, mtoto wa Tundu Lissu, ametoa ushuhuda mzito na wenye hisia kali mbele ya maofisa wa Bunge la Seneti na Congress

    Njia aliyoichagua Lissu katika siasa za upinzani ni ngumu na nzito na zina gharama kubwa katika uhai wake, afya yake, uchumi wake na maisha yake na familia yake kwa ujumla hasa kwa nchi zetu za kiafrika. Na nina uhakika yeye mwenyewe analijua hilo.
  9. V

    JamiiForums Tanzania Kila nikitafuta cha kujivunia mimi kuwa mwafrika nakikosa

    Maendeleo ya kiuchumi hayana dini, kutoboa kimaisha ni mchakato, sisi watu tunaopenda starehe kuliko kazi vipi tutatoboa? Ndiyo maana wasanii wanatengeneza mkwanja mrefu kuliko hata walimu, wanasiasa wanatengeneza sheria za kujinufaisha zaidi wao kuliko watu wao waliyowachagua. Tunapenda njia za...
  10. V

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pascal Mayalla: Oktoba 29 vyombo vya dola vilikuwa havina namna, risasi za moto zilitumika kutuliza zile vurugu

    Katika mjadala wa masuala ya umma, hususan yale yanayohusu migogoro ya kisiasa na kijamii, ni muhimu kutenganisha hisia binafsi na taarifa rasmi zilizothibitishwa kupitia taratibu za kisheria na kiuchunguzi. Kauli zilizotolewa na Paskali zinapaswa kutazamwa katika muktadha huo. Maudhui...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kumbe Hashim Rungwe ndio mwasisi nchini wa biashara ya magari used kutoka Japan!

    Kuna wakati magari yaliyotoka Japan miaka hiyo yalikamatwa na kurundikwa uwanja wa taifa, sijui yaliagizwa kinyume na taratibu, baadaye yakaachiliwa. Enzi za Nyerere mambo yalikuwa moto.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Dini haiendani na uhalisia wa mwandamu, mfano inaweza kukupelekea uwe kukutengana na wasioamini lakini kiuhalisia hao hao ndio waaajiri au wateja wako

    Huo ni mtazamo wako, lakini sisi wengine tunaona dini ndizo zimeweza kuleta maarifa zaidi ya sisi wanadamu kujuana, kuheshimiana na kupendana, misingi ya utengamano kwa sisi wanadamu tunaipata kwenye mafundisho ya dini, lakini kuna watu si wa dini wanatumia dini kama njia ya kujinufaisha wenyewe...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

    Ikiwa kucheza fainali wamepata viwanja basi wakishinda watajengewa na nyumba kabisa na huenda wakapata na hata na usafiri ila umri wa kundesha utakuwa bado.
  14. V

    JamiiForums Tanzania Ubora wa ndoa Tanzania tunaupimaje, au cha muhimu watu hawajaachana?

    Zamani ndoa ilikuwa ni jambo la kifamili, yaani linajumuisha familia zote za muoaji na muolewaji. Ni mchakato wenye kuunganisha familia nne (1-familia ya baba wa mume, 2-familia ya mama wa mume, 3- familia ya baba wa mmke na 4-familia ya mama wa mke), na vijana walikuwa wakifundwa kama mambo ya...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

    Hapo kwanza tuna advantage ya mashabiki, kwa kuwa wamoroko walizinguana na wasenegali kwenye fainali ya AFCON (ya wakubwa) hivyo hapo kuna ile kauli ya kuwa "adui wa adui yangu ni rafiki yangu", na vijana itabidi wajitoe kwa asilimia zote kwani hawana cha kupoteza ila hapo ndipo wanajitengenezea...
Back
Top Bottom