Recent content by vuga

  1. vuga

    JamiiForums Tanzania Nembo ya mpira kombe la dunia ni picha ya nyoka cobra au chatu na kombe ni sanamu ya chatu. Timu zinagombea kichwa cha nyoka Shetani kombe la dunia

    Hongera kwa kwenda hatua mbele na kutafuta/kutuletea historia hiyo. Umewaelimisha walio na nia ya kuelimishwa.
  2. vuga

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie vifaranga (Vijogoo) bei poa

    Vifaranga (vijogoo) viko Mtoni Kijichi, Dar. vina umri zaidi ya wiki 2 kwa idadi na bei piga 0754573036 au tuma PM
  3. vuga

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie vifaranga (Vijogoo) bei poa

    Nauza vifaranga (vijogoo) vya umri zaidi ya wiki 2. vifaranga vina chanjo viko Mtoni Kijichi, Dar. ". kwa idadi na bei pigs 0754573036 au nitumie PM message
  4. vuga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia boresha kila kitu tutakusahau, ila ukimaliza mchakato wa Katiba tutakukumbuka milele

    Iwafikie wote wanaojali zaidi maslahi ya taifa letu.
  5. vuga

    JamiiForums Tanzania Makabila zaidi ya 128 yanayopatikana Tanzania Bara

    Wa"gabacholi" je, wamesahaulika?
  6. vuga

    JamiiForums Tanzania Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

    Hiyo picha iliyobandikwa ukii-zoom na kufanya tafsiri (photograph interpretation) vizuri, utapata jibu kwa nini TCRA imetoa adhabu hiyo.
  7. vuga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed afariki dunia

    Mungu amrehemu, amjalie pumziko LA milele.
  8. vuga

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA ni lazima ioneshe mshikamano juu ya mgombea mmoja, Lissu awe Waziri Mkuu

    Exactly. Well said.
  9. vuga

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa kichwa shuleni? Andika neno lenye herufi tatu lenye maana

    saa
  10. vuga

    JamiiForums Tanzania Maana ya msemo 'The guilty are afraid' nini hasa?

    Nimewahi kusikia msemo "the guilty are afraid". Naomba yeyote awezaye anipe tafsiri ya huo usemi. Na ikiwezekana, anifafanulie kwa kutoa mifano. Asanteni.
  11. vuga

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa kujirusha toka angani: Muasisi wa mchezo huo Tanzania afariki baada ya kujirusha na kupata majeraha

    Hiyo nimeiona.Inasikitisha. Nadhani amekimbilia sifa ya kuitwa mwanzilishi wa mchezo huo. Wala so mchezo mbaya. Ila alihitaji basics za fizikia - mass, velocity, floatation/displacement, nk. Je, hizo basics alikuwanazo? Je, alitafuta ushauri wowote kutoka kwa wenye taaluma husika? Kama...
  12. vuga

    JamiiForums Tanzania Lissu hit the bull's eye - acheni porojo

    Aheri na haki mswada uwasilishwe kuliko kuacha eti kwa sababe CCM watapinga. Vilevile CCM kuupinga au kuunga mkono ni haki yao.
  13. vuga

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya Ikulu nao huishi Ikulu?Na kwanini magari ya viongozi wa juu huwa hayazimwi mikutanoni?

    Hivipunde, umenikumbusha kiss cha Operation Entebbe a.k.a Entebbe Raid enzi za Idd Amin. Nasikia ndani ya ndege ile iliyotumiwa na makomando wa Israeli
  14. vuga

    JamiiForums Tanzania Ofa spesho kwa atakayeweza kubuni jina la duka langu!

    1. Usipitwe Men's Wear 2. Za Kiume Classic Wear
  15. vuga

    JamiiForums Tanzania Tegua kitendawili iki upate vocha ya wiki

    Kioo cha kujitazama
Back
Top Bottom