Lissu, TLS, UKAWA na allies wanajizungusha sana kuelezea ukweli na ndio imekuwa tatizo kubwa sana kwetu.
Hawa jamaa na nyimbo zao za katiba mpya, muda wote wanaodai katiba mpya lkn ndani ya nafsi wanataka vitu viwili 2.
Katiba mpya ni ngumu mno kupatikana sababu ya entanglement with issues za union, huwezi kuzungumzia kipengele cha muungano bila ya kuanzisha mjadala usioisha. Kwa sasa muungano sio tatizo kubwa, issue ni demokrasia na jinsi ya kumpata raisi.
Huwezi kumvua madaraka raisi aliyepo madarakani kwa kumuomba apitishe sheria ya kujipunguzia mamlaka, Ila ukishamuwekea uncertainty kwenye ushindi wa uchaguzi, definitely atakuwa mtumishi mwema kwa umma.
TLS na wabunge wa ukawa, nendeni mkadai tume huru na kuchallenge matokeo ya raisi. Vingine mtakuja kuvifanya mkiingia madarakabi

- Tume huru ya uchaguzi
- Matokeo ya uraisi kuweza kupingwa mahakamani