Tegua kitendawili iki upate vocha ya wiki

Ukiambiwa utengeneze kitu ambacho mtu yeyote akikiona.,wakati anahuzuni afurahi gafla na akikiona wakati ana furaha ahuzunike gafla utatengeneza nini? Au kitu icho ni nini? Karibu Sana upate vocha
Nitatafuta ubao na kuandika sentensi hii...

"Hiki ni kipindi cha mpito tu kinabadilika muda mfupi ujao"

" This time is not permanent, It will change very soon"

.... Mkuu Asante kwa kunifikirisha Anyways!!
 
Upo juu mkuu soon utapatia
 
Hicho kitu ni MATAMKO ukiyasikia ukiwa na huzuni unacheka ,ukiwa na furaha ukayasikia una huzunika + ndege za bombardier
 
Ukiambiwa utengeneze kitu ambacho mtu yeyote akikiona.,wakati anahuzuni afurahi gafla na akikiona wakati ana furaha ahuzunike gafla utatengeneza nini? Au kitu icho ni nini? Karibu Sana upate vocha
Kioo cha kujitazama
 
Yani watu umu ndani vilaza Sana wanashindwa kutegua kitendawili iki since 3 days ago
 
Ukiambiwa utengeneze kitu ambacho mtu yeyote akikiona.,wakati anahuzuni afurahi gafla na akikiona wakati ana furaha ahuzunike gafla utatengeneza nini? Au kitu icho ni nini? Karibu Sana upate vocha
Hili nalo litapita
 
Back
Top Bottom