Recent content by Vradimil

  1. V

    JamiiForums Tanzania A God can be a mere theory, nothing more

    Hana lolote huyo mpuuzi tu mmoja linajifanya linajua lkn ni pumbafu moja tu tena halina akili. We angalia michango Yake yote linaongea ujinga ujinga. Mafuasi ya makanisa ya kiroho ni shida sn! Misukule inayoburuzwa na mapambio na sebene za kikongo!
  2. V

    JamiiForums Tanzania A God can be a mere theory, nothing more

    Huyo Nkwesa Makambo linajifanya linajiua na hizo lugha zake mbovu mbovu. Hakuna point yoyote ile Zaidi ya kutoa lugha chafu kiburi
  3. V

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu Liverpool tutamfunga vizuri tu. Hana chake pale darajani.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hongera Mkuu.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wakuu kesho Liverpool yuko darajani lazima apigwe ndio kombe linoge kuchukua wapi wadau Wa Chelsea ktk kuchambua huu mtanange? Ntuzu Manumbu Mentor agosti 8 kalou b5-click kunguru mjanja Grand PA Viol the say mbingunikwetu Na wadau wote. Leteni nondo wakuu. Maana uchambuzi wenu kwa mchezo Wa Man...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nonda una vituko! Post zako nyingi ni vichekesho. Unastahili tuzo.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ntuzu muda wote mbona yuko hapa? agosti 8 sijui atakua wapi lakini huenda ktk hii michezo iliyobaki akarudi. Tumuombee uzima tu huko aliko ndugu yetu! Ntuzu kesho QPR anapigwa ngapi? Leo Arsenal anapigwa na Bunley.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Al-Qaeda auawa Pakistan

    Usidanganye watu. Osama aliuwawa mpaka Wapakstan waliandamana kwasababu ya kifo chake!
  9. V

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday To mimi Khantwe

    Karibu tena. Ivi wewe ni ke au me?
  10. V

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday To mimi Khantwe

    Khantwe heri ya kuzaliwa ingawa nimechelewa!
Back
Top Bottom