Mkuu wa chuo si unamkumbuka huyu Comandoo!?
View attachment 208916
Mpaka leo inasemekana bado yuko Pakistan na Ukimuona hana ndevu hata moja na Ni kijana Smart kabisa mwenye mke na watoto na biashara zake.
Sasa huyu Wa leo Ambae ni Mtu mdogo tu Unategemea tutapata Hakika ya kifo chake?
Tatizo kubwa la Wagalatia Wao Hubeba HABARI ZOOOOOOTE mazima Bila Kushirikisha Kichwa ktk Kuitafakari hio khabari.
Ndio tukasema Wajinga Ndio wali wao!
We hukushangaa BABU wa LOLIONDO juu ya Kuwa ALIKUWA MUONGO lkn walikwenda Mpaka MAWAZIRI kunywa Kikombe!
Ujinga Hauna kabila. Nakushauri Usiwe ktk Hilo Group la AKILI KUAMBIWA!