Recent content by VOLATILE

  1. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hospitali za Rufaa kuwaachia majukumu yote ya kitabibu wanafunzi wa udaktari pasipo usimamizi wa kutosha - chanzo cha vifo vingi

    Unapopingwa na kuambiwa andiko lako lina shida na haliko sahihi, wewe umekadhana tu kuwaambia wenzako kuwa hawajasoma andiko vizuri. Acha dharau na kujiona mama unajua kila kitu mkuu, huku ukijifanya mstaarabu kutumia lugha ya kupumbaza.
  2. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hospitali za Rufaa kuwaachia majukumu yote ya kitabibu wanafunzi wa udaktari pasipo usimamizi wa kutosha - chanzo cha vifo vingi

    Mkuu, nimepitia andiko lako lote na nimekuja na vitu vifuatavyo; 1. Ni andiko zuri, liknakombusha wajibu wa madaktari na wahudumu wa afya katika kujali na kutibu wagonjwa mbalimbali kwa ufanisi. Hapo madaktari wanachakiijufunza kwa baadhi ya points ulizozitoa 2. Pamoja na hayo yote, uzi wako...
  3. V

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    3:03 AM
  4. V

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa elimu: Kila mtu asome

    HUNA AKILI
  5. V

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa matokeo haya

    Huyo ni wewe mkuu,mbona mnapenda kuwasingizia Wadogo zenu hewa?
  6. V

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wakuu tumeni link au application ya online game
  7. V

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mwenye link au application inayoonesha mpira aweke jina hapa wakuu
  8. V

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

    Soma tena nilichoandika,kisha soma tena ulichoandika,alafu niambie kama kuna utofauti!
  9. V

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

    Soma kwa akili wewe kijana! Kwani nimezuia SGR isijengwe au? Nimesema ijengwe lakini sio kwa watu wateseke! Jenga huku unaajiri watu na kuwaongezea mishahara yao!
  10. V

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Shukrani mkuu, all the best
  11. V

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Mkuu umetokea form six au diploma?
  12. V

    JamiiForums Tanzania BAKWATA Mkoani Mtwara yatangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM ili awe Rais kwa awamu nyingine

    ""Mbali na hayo Bakwata inakabiliwa na baadhi ya changamoto ikiwemo ukosefu wa mafunzo ya uongozi kwa viongozi hao kutoka ngazi zao za juu pamoja na vitendea kazi kama vile kompyuta."" Sasa unategemea nini kwa viongozi kama hawa?[emoji19]
  13. V

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

    Mkuu sasa misaada yao kama USD 300 Million walizozitoa mbona hamzikatai? Mwanamke anayekukataa hadharani huku akila pesa yako sirini,huyu tunamuitaje lakini? Kama nyie ni wanaume kataeni misaada yao ili taifa huru mnalolitaka lipatikane!
  14. V

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

    Kwa hiyo ni sawa baba kununua gari nyumbani huku watoto wakishinda na njaa kisa tu hilo gari watoto hao watapanda?? Maendeleo ya vitu ni mazuri mno kama tu yatafanyika without expenses za maendeleo ya watu. Yaani ndege zinunuliwe huku ajira za kutosha zitangazwe na vijana wapate kipato. Yaani...
  15. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya kupigia kura imetushtua

    Boyaa wewe ,hayo maneno yako ungeyatamka kwa Gwajima!
Back
Top Bottom