Recent content by Vlad

  1. V

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Habari za asubuhi wakuu,mie nafatilia vizuri sana huu uzi na niliisha wahi kuchangia kipindi cha nyumba,Kama kwenye huu uzi kuna wadau wanaoishi zanzibar naomba mni PM ili tuweze kuweka mpango mkakati wa kukutana na Ontario,kipindi cha nyuma aliwahi kuniambia zenji ni Kama nyumba kwa pili kwake...
  2. V

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ni kweli kabisa Prison Island ni sehemu nzuri sana kurelax,Mie ni tour guide hapa Zanzibar kwa hiyo huwa nawatembeza watalii kwenda sehemu mbali mbali za kisiwa hiki kuona vivutio vilivyopo,na prison island ni sehemu nzuri sana,nitajitahidi sana kulifanyia kazi suala la kumobilize watu ili...
  3. V

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Asante sana mkuu Ontario,nimefatilia uzi wako tokea day 1 na nimeisha a za kuzijua ABC za Forex,Mie naishi Zanzibar,na nikwambie ukweli kuwa Watu waliopo huku zenji na waofatilia jamiiforum hasa Uzi huu (nawafahamu wachache) tunatamani sana uje zenji japo kwa darasa la siku 1 tu,Tupo tayari...
  4. V

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Mimi ninalima matikiti na kesho tarehe 10 ndio ntaanza kupanda shamba la ekari 3.5 ,hivyo natarajia kuvuna mwezi wa 8 mwanzoni kama kila kitu kitaenda sawa,kupeana mawazo na ushauri katika kilimo hichi naombeni mniadd ktk group lenu la watsapp 0654947055,tushauriane kuhusu kilimo na masoko yake
  5. V

    THE NIGHT WALKER! MMU LADY COLLECTOR OF ORGASMS! "I slept with them all and i don't regret it!"

    Unatuwakilisha vizuri sana kwa wale tuliosoma ulaya mashariki,ila tunaonekana makauzu which is Gud smtym, umenigusa sana ishu ya online dating hasa ya pale hizo tulizosomea,ki ukweli zimekaa vizuri sana na longolongo si nyingi kama bongo,ila poa bongo Ni home na tunakomaa nao kama kawa,endelea...
  6. V

    Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

    Kama Ni kweli haya ndio matokeo basi huo mpango wa Big Results Now BRN bora uitwe Big Failure Now BFN
  7. V

    Facebook and Instagram down worldwide for an hour after 'hack

    Mjita dai ya kijamii ya Facebook na Instagram haiko hewani baada ya kikundi cha Lizard Hackers kuifunga mitandao hiyo.More info to follow
  8. V

    Mke wangu nikiomba penzi anadai nimlipe hela

    Na wengine wakimlipa atawapa?
  9. V

    A Nigerian, an American and a German

    Hehehehehehhehe
  10. V

    Kazi za Mahoteli Zanzibar, Karibuni

    Hebu nitajie hiyo hoteli inayomlipa receptionist laki 5 kwa mwezi,hoteli 5 star ndo zinaongoza kuwalipa wafanyakazi mishahara midogo hapa zenji,na Kama hutaki unafukuzwa wana chukua ma trainee,mshahara wa receptionist ni kuanzia 120000 - 300000 endapo tu utakuwa na experience kubwa, wahudumu wa...
  11. V

    Je wanawake hufurahia 'Quicky'?

    Hehehhehe nimeipenda CHA MPORI FASTA
  12. V

    Baba mkwe huyu ni nomaa

    If you do her,I do you
  13. V

    Le Mutuz amuopoa Zari?

    Huyu ni mtoto wa Malecela mwanasiasa wa Tz?
Back
Top Bottom