MI nahisi ni wana Disclose tuu ss hivi. Ilikuwa inakatwa hata b4. Ila walikuwa hawatuonyeshi tuu. For instance. Nimenunua vocha ya 2500 jana nakujiunga 2000/= bundle Nina 500 sh yangu pale pale.. tatizo WA TZ hatutaki kuona kodi wamelipia wakati kuanzia mwanzo mitandao ilikuwa inalipia kodi ila...
Mi bana sina chama chochote ila Kuna jamaa mmoja mwanasiasa alisema wa-TZ wakichagua CCM inabidi tutafutiwe consultant wa ku2u-pima akili. Mi siko tayari kupimwa akili na daktari wa mataahira. Hata kama nchi nzima ingechagua huyo Kufuli. Hio asilimia 0.0000001 ni ya kwangu not voting for...
My friends that is what a DDOS or Distributed Denial of Service Attack looks like, Wasitupige fixi zozote hizo, mpaka kui-ta vichwa vya huko SA ndio vije kurekebisha mambo mi$$ mingapi imewatoka? Hii ina-happen all the time kwa makampuni yote ndani na nje ya nchi yetu. Bank's ze2, IP networks...
Priscus JR hio data wameamua kui-bana. Kama hujamaliza wana kwangua yoote. Mimi natumia smartphone kwa hio dawa yao ni hii.. naweka sh 650 tuu kabla sijawasha mobile data. Napata hizo 150MB zao. Kesho yake kabla ya hayo masaa 25 yao waliotoa, nacheki balance kujua data imebakia ngapi. Kwa mfano...
Kwa wale kama mimi niliyokuwa na tumia bundle ya 5999 kwa wiki, na airtel kutubadilishia hizi tarriff zao wanavyotaka, nimeamua kubadilisha recharging kwa kuchagua ya 650/day. Napata dk 20, MB 150 na SMS za kimavi 450 ambazo sijui kwa nani anayehitaji sms siku hizi. Najua hii ni kazi zaidi na...
Microsoft kama kampuni nyingine za software wana-tangazaga Product LifeCycle ya software wanazo-zijenga. Kwa XP kuna End-Of-Sale ilikuwa mwezi wa 6 2008, hio ina-maanisha baada ya hiyo tarehe huwezi pata computer mpya kutoka kwa manufacturer kama Dell, Toshiba etc, ikiwa pre-installed na XP...
Aisee, jioni hii hii imejaribu kutumia SIMU kutuma neno INTERNET kwenda 15444. Nimepata ujumbe ufuatao
Dear Customer. You have successfully received 400MB. To view your balance and expiry date, dial *154*44# and follow instructions. Thank you
Naona kama wadau wengine wanavyo sema kwenye CM...
Si wanaonyesha ujinga wao wa kuto-ku-update site yao kabla ya mabadiliko, Nchi zingine wateja wange-goma kulipa zaidi bila kusoma NOTICE kama hii "Prices can change with or without notice" ambayo kwenye hiyo page yao sijaiona bado. Au ipo sehemu nyingine?
Internet access bado kwa watanzania wengi haijulikani kama ni moja wapo ya "resources" muhimu katika uchumi and jamii. Hizi cellular companies huweka bei za hizi bundle kuzingatia mambo mengi na walitakiwa kutupa sisi watumiaji wa service zao muda au tangazo kabla ya kuufanya huu upuuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.