Achomwa kisu na mpenzi wake Arusha

Achomwa kisu na mpenzi wake Arusha

Status
Not open for further replies.
Sahihi: Marehemu anaitwa Wilbard Dewasi. Haijajulikana kwa uhakika kama huyo mwanamke ndie aliemuua. Lakini jina lake sio Rose Ndosi, ila huyo pichani anaitwa Pauline.
 
Mwanamke kwanza mzee ..umri wake ni wa kustaafu ..kijana alipenda lijimama katili na linalotumia vitu vyenye mcha kali
 
Hivi mkuu, ukimtizama kwa makini huyo mwanamke , hugundui kitu kweli? Mbona anaonekana mbabe mbabe hivi? N a mshikaji anaonekana mpole kiasi.

Halafu mpalestina a.k a mmachame.
 
Halaf ninyi NGESEMA mnaowachukia wachagga bila sabab hum JF phaq u all. Mnachuki za kulazimisha. Cjui wachagga oh cjui nn...mfyuuuu!!! Wachagga wamewakosea nn? Mpo kama mnapumuliwa na mazombie. Peleken genye zenu huko kuzim. Malabuhuu nyinyi.
 
What is this Aisee....
 
Kijana mmoja mfanyabiashara wa aliminiamu wiliadi bewasi ameuwawa kwa kuchomwa kisu na mpenzi wake maeneo ya moshono.mpenzi wake anaitwa Rozi ndosi,picha ya marehemu hii hapa chini pamoja naya muuaji

mahaba ukinichoka niache kama wale 28000 wa loan boad.hii balaa
 
acha ukabila we pi.m.bi
ww ndio pimbu hasa
mm nimeileta hii Mada? Ndosi ni kabila gani
Wamachame mna tabu sana
huyo Dada yako huoni hilo liKifua ? shepu ya simba Dume
kuwa ni la kimachame
 
Huyu dude namfahamu vizuri nilisoma naye IT.
RIP Dewasi,Mungu akulaze panapostahili!
 
Hizi ndio shida za kuolewa na wanawake!
Hili ni fundisho kwa wale vijana wavivu wa kujitafutia riziki wenyewe badala yake wanadanganya kina mama walioachika au kufiwa na waume zao kuwa wanawapenda kumbe wanataka tu kutanua na hela zao huku wakiwa na washikaji wadogo mitaani. Ukigundulika huwa adhabu yake ni kali sana haswa kama mama mwenyewe amekutunza kwa hela aliyoihenyea sana. Utatunzwa vizuri lakini ogopa!
 
What is this Aisee....
resentment!!! The only thing we don't have right now is power. But time will tell. We'll fix up all the haters when that time comes. Endeleen kututukana na kutuchukia tu. Mkumbuke vitu vyenye ncha kal ambavyo havishik kutu huitaj lesen kumilik nchin. Beto za laana na za kutosha tu tutawakabiz wa2 when we get power. For the mean time we're keeping low profile but we've long term plans. All haters will answer their hatred towards us in public by being convicted after December 2015!!!
 
Darkness will never drive out darkness but light can, hate will never drive out hate but love can!!!!
 
ww ndio pimbu hasa
mm nimeileta hii Mada? Ndosi ni kabila gani
Wamachame mna tabu sana
huyo Dada yako huoni hilo liKifua ? shepu ya simba Dume
kuwa ni la kimachame
aisee mwanajamv mwenzang tukichukua nch cku moja tutatumia usalama wa taifa kuwasaka watu wenye chuki kama wewe na kukupeleka mbele ya pilato sheria ifuate mkondo wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom