grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Hivi yule mdada sijui meneja mahusiano yupo? anaakili timamu? Anajua wajibu wake?
You mean Badra Masudi?
Hivi yule mdada sijui meneja mahusiano yupo? anaakili timamu? Anajua wajibu wake?
Badra Masudi sasa hivi ..... amepanda cheo.
Nimezuia tusi kubwa sana kunitoka, inatia hasira mno mkuu.
Mkuu haya madude yanaweza kukutafutia BAN bure, vinginevyo unaweza kuandika novel ya matusi.Mkuu funguka tu tukiwachekea ata huku watakuwa hawana woga na sisi tukiwaonesha chuki zetu watakuwa wanajua wakilikoroga lazima wanangwe.
Na yana soma sana hizi habari yanajua yalivyotukera shenzi sana haya
Mkuu haya madude yanaweza kukutafutia BAN bure, vinginevyo unaweza kuandika novel ya matusi.
Sawa lakini tusiwe waoga sana kwenye ukweli
Kwa hali hii nimejifunza, nitakuwa si nunui tena umeme wa elf 10. Wengi wetu tunanunua umeme wa pesa ya mbuzi matokeo yake ndio haya yakulazana giza na kuanza kulalamika
Baada ya kulala gizani kwa siku mbili kwa kulazimishwa (eti ni mfumo) lea tumelala gizani na hadi sasa hatuna umeme. Tunajua mvua zilinyesha na umeme ukakatika kwa sababu ya upepo. Je hiyo ndiyo sababu ya kutukosesha umeme kwa saa 24? Na bila taarifa rasmi? Ebu jaribu kufikiri hali ikoje kwenye hifadhi ya vyakula baada ya kutokuwa na umeme kwa siku tatu mfululizo. Na bado TANESCO wanoona ni normal. Hivi kama hamtaki kutoa huduma ya umeme si mtutangazie tujue moja kuwa hakuna huduma ya umeme? Nyie endeleeni kukichongea Chama kwa wananchi. Natamani Katibu mkuu aje amalizie hasira za serikali za mitaa kwenu kabla hamjasambaza hii sumu October.