Recent content by Vitamin K

  1. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kusubiri kanzidata ya ahadi hewa inaumiza sana wakati watu wanalamba asali isiyo na kikomo. Ndani ya miezi mitatu tu watu wanakula posho zaidi ya jumla ya mshahara wa hiyo miezi mitatu. Mungu atende na sisi tupate nafasi
  2. V

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kusubili kuhesabiwa na tutoe ushirikiano kwa makarani wa sensa watakapotufikia

    https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/43354752
  3. V

    JamiiForums Tanzania Spidi ya Makarani wa Sensa ni ya mwendo wa konokono, Ni Graduate kweli?

    https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/43354752
  4. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Baada ya Sensa ya 23, Agosti 2022, Tuhamie kwenye Sensa Endelevu. Teknolojia imekua

    UTANGULIZI: Sensa ya watu na makazi ni nini? Ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumi na kijamii kuhusiana na watu wote na makazi yao katika nchi kwa kipindi maalum. Kwa maana nyingine, sensa ni zoezi maalum lenye lengo la...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nahisi Dogo anataka kuniingiza mjini, ni kweli kuna fomu za kulipia elfu 40 ili ufanye mtihani wa QT?

    Hayo yote ya usajili NECTA na malipo ya kituo kashafanya tangu March. Kumbuka ili usajiliwe NECTA lazima uwe na kituo cha kufanyia mtihani, kwa hiyo malipo yanaanzia kulipia kituo ili apewe details za kituo ambazo atazitumia kujisajili NECTA kupitia POSTA. Nyaraka zote anazo, ila nashangaa hii...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Nahisi Dogo anataka kuniingiza mjini, ni kweli kuna fomu za kulipia elfu 40 ili ufanye mtihani wa QT?

    Hawa madogo sijui wanadhamiria nini, starehe? Binafsi sikuwahi kufanya mambo kama haya
  7. V

    JamiiForums Tanzania Nahisi Dogo anataka kuniingiza mjini, ni kweli kuna fomu za kulipia elfu 40 ili ufanye mtihani wa QT?

    Mizunguko yangu imenibana sana, hapa natafuta nafasi ili nikajue mbivu na mbichi
  8. V

    JamiiForums Tanzania Nahisi Dogo anataka kuniingiza mjini, ni kweli kuna fomu za kulipia elfu 40 ili ufanye mtihani wa QT?

    Huyu dogo akimaliza pepa atatakiwa arudi mkoani(nyumbani), nipo namuandalia safari na mahitaji mengine madogo madogo ila kama kaamua kujipatia hela kwa njia hii, hapana
  9. V

    JamiiForums Tanzania Nahisi Dogo anataka kuniingiza mjini, ni kweli kuna fomu za kulipia elfu 40 ili ufanye mtihani wa QT?

    Ukitoa hata kama ni ndogo zaidi ya hii halafu baadae ukija kugundua umedanganywa lazima utachukia tu. Bora aseme shida yake kuliko na kudanganya
  10. V

    JamiiForums Tanzania Nahisi Dogo anataka kuniingiza mjini, ni kweli kuna fomu za kulipia elfu 40 ili ufanye mtihani wa QT?

    Akivunja tutajua namna ya kufanya, ila hii kabla hajavunja. Hapana
  11. V

    JamiiForums Tanzania Nahisi Dogo anataka kuniingiza mjini, ni kweli kuna fomu za kulipia elfu 40 ili ufanye mtihani wa QT?

    Hiyo unayoona ni ndogo ni kipato cha familia zetu nyingi
Back
Top Bottom