Ustawi wa jamii yeyote huanzia kwa kuimarisha maadili ya mwanamke...na ukitaka kujua jamii iliyoparaganyika angalia mwenendo na tabia za wanawake wa jamii husika...kwa mfano maadili na mwenendo wa wamama wa jamii za wachaga ni kufanya kazi kwa bidii na kuhakikisha familia,hasa watoto wanalelewa...
Unauogopa sana ukweli mkuu...unajitengenezea uongo ili ujifariji...face your fears...jitoufatishe wewe na mbuni...ambaye huficha kichwa kwenye ardhi...
Pole mdude na karibu tena....mapambano yanaendelea...watu kama mdude ni kama roho...mwili hufa ila roho haifi...anaweza kufa mdude kimwli ila imani ya mdude na roho yake vitaendelezwa na mwingine...maumivu ni ya mwili tuu ila imani yako imepata nguvu zaidi..kwa mara ya pili mdude amewashinda...
Na hizi ndio chuki kubwa walizonazo wasiofanikiwa dhidi ya waliofanikiwa na ndio sababu ya wao kutofanikiwa zaidi.kumchukia na kumuombea mabaya mtu aliefanikiwa hakukupunguzii umaskini wako...vice versa is true...
Hivi nae yule ni superstar eti...aolewe na pierre wanaendana...bibie kick yake mavuzi na pierre kick yake gambe...huyu akimwaga gambe yule mavuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Check this out...demu mwembamba ukimlaza kwa mgongo....miguu yake ukainyanyua na mmoja ukauweka upande wa kushoto na mwingine wa kulia wa mabega yako....halafu ukampinga kidogo...chini ya kiuno ukamwekea mto...then mikono yako ikashika kiuno chake...maan need we say more....sasa jaribu kufanya...
Kuna watu wanakuwa na maana na thamani wanapokuwa wafu kuliko wazima...at least wakiwa,wafu wanaongeza rutuba ya ardhi...but mkiwa wazima mnaijaza na kuichafua dunia kwa ushuzi wa mawazo na vitendo...
Ni aibu kubwa sana kwa awareness ya tanzania revolution kuanzishwa na mtu kama mange...aibu kubwa kwa jamii ya wasomi na wanaharakati wa tanzania..but then hata tunisia maandamano yalianzishwa na kitendo cha kijana yule muuza genge kujiwasha moto...hii inatufundisha mabadiliko ya kimapinduzi...
Either yatafanyika au hayatafanyika mbegu imeshapandwa....mnachofanya wewe na wenzako mnaendelea kuinyweshea maji kwa kasi na kuirutubisha kwa mbolea inayotokana na matendo yenu maovu...tumetanguliza mguu mmoja mbele...watanzania wako tayari kwa ari ya ndani ya mioyo yao na sio lazima wote wawe...
I honestly understand when women complains about kibamia..kwa sababu wao ndio watendwaji wakuu wa either kibamia or muhogo..they are on the receiving side...but mwanaume ambaye ndio mtendaji wa kutumia either kibamia or muhogo sasa anapomcheka mwanaume mwenzio eti ana kibamia au muhogo unatupa...
Hahahah...shikamoo babu.....but issue sio kupost picha but why umepost picha...lengo ni nin..nyerere huwa anapostiwa hata video zake but lengo ni zuri either kutuelimisha au kutukanya..but picha ya mama yake le mutuz umeipost kwa nia ipi...kumdhalilisha hata mama ambae ni lama mama yako...come...
Hahahah....naonaga humu wanakuitaga babu...wanalikosea heshima hilo jina ambalo kwetu waafrika linamaanisha mtu mwenye busara,weledi na staha wewe kwa maandiko yako humu ambayo bila shaka yeyote yanawakilisha maisha yako ya ovyo unayoishi huna sifa hata robo ya hilo jina...na kuanzia leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.