Mji mzito mnoo: Fununu: Mdada mtangazaji afukuzwa kazi,usagaji watajwa

kwa wasio mjua
IMG_20190411_091449_316.JPG
IMG_20190411_091509_471.JPG
IMG_20190411_091529_144.JPG
IMG_20190411_091436_175.JPG
IMG_20190411_091421_558.JPG
IMG_20190411_091307_227.JPG
IMG_20190411_091142_105.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ni mtangazaji? Binafsi nilivyoona video anazungumzia mavuzi nilisikia sana nikajiweka hivi hana wazazi au ndugu? Kama kweli amefukuzwa itakuwa vizuri, apokelewe clouds au wasafi wasiojali Mambo ya kipumbavu.
Alijisahau sana,,niwapongeze wenye kampuni kwakufanyakaz nzuri

Watu wanapokuw kwenye public eye wanajisahau kuwa wanatamwa na watu wengi

mambo ya umalaya wayafanye nyumbani kwao sio kazini
 
Kumbe ni mtangazaji? Binafsi nilivyoona video anazungumzia mavuzi nilisikitika sana nikajiuliza hivi hana wazazi au ndugu? Kama kweli amefukuzwa itakuwa vizuri, apokelewe clouds au wasafi wasiojali Mambo ya kipumbavu.
Huyu shuzy kabla ya eatv alikua clouds kipindi cha jmosi jioni kilikua kinapiga masebene

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu shuzy kabla ya eatv alikua clouds kipindi cha jmosi jioni kilikua kinapiga masebene

Sent using Jamii Forums mobile app
unachanganya,wa clouds anaitwa suzy baltazary mtoto wa yule mwanamuziki wa zamani abel baltazari siyo huyu haka cha juzi,kalinikera sana na ile picha yake anaonyesha makwapa hayajanyolewa mara akaanza kuongeleza kwanmba kafuga mavuzi sijui akinyoa ni kero ..dah
 
Back
Top Bottom