Nilichokigundua kuhusu maandamano yenye kauli mbiu ya (Tanzania Revolution)

bahati nzuri huwa naamini ili dunia ikamilike lazima watu kama nyinyi muwepo!!! Labda unadhani nita kutukana kama wewe ulivyo fanya!!! But am not that type of a person!!

Nadhani Umeeeleza vizuri sana umesoma post yote niliyoiandika,

Kile kitendo tu cha wewe kutumia muda wako kuisoma post yooote ile na kwa urefu wake it's a good sign ulivutiwa na kilicho kuwa kimeadikwa, kika kuteka ukasoma na kudoma na inside umeonyesha umeguswa. Ila kwakuwa wewe ni mnufaika wa mfumo wa utawala waina hiyo iliyo zungumzwa hapo juu! Sasa ikabidi tu upinge in one way or another kulinda mfumo wako wa maisha!!

na shukuru umekuwa informed, endele kusoma zaid uwe informed more!!!

Kuhusu kutokua na kazi that's is personal , dnt judge the book by it's cover dear!! Mi mtoto wakike na hapa Tunaonana kwa comments but in reality I don't know you and you dnt know me!! So asante tena kwa Ku apriciate my post!!!


Viva 26:

pamoja tutaandamana na tutaweza!!!

Unavyoonekana Tu Hata Hiyo Simu umeazima Pole sana Magufuli yupo mpaka 2025
 
Fikira za aina yako ndizo zinatufanya tuendelee kutumika kama midoli. We need to change.

Habarini za usiku ndugu zangu,

Nimejaribu kupekua ktk mitandao mbalimbali nimeona watu wengi Sana wakishiriki kwa kuchangia hoja na wengi wao nimeona wakikubaliana na haya maandamano, Sasa kwa ujinga wa vijana wa hapa kwetu nchini wanadhani kuwa maandamano haya yatatekelezeka kama wanavyopeana moyo,

Sasa ili wasiendelee kupoteza wakati wa kufanya maendeleo kwasababu ya kukesha katika kujadili hoja isiyo na manufaa kwa familia zao na kwa taifa kwa ujumla nawaomba wajiulize maswali yafuatayo:

1) Ni nani atakuwa kiongozi wao ambaye atafanya kazi ya kuwakusanya pamoja kuanza kuandamana?

2) Je, kwa kutumia majina yasiyo yao ktk makundi ya mapinduzi wataweza kutambuana siku hiyo?

3) Je, uelewa wetu na elimu tuliyo nayo tumekubali kuwa mwalimu wetu mwenye akili kuliko sisi awe Mange kimambi?

4) Je, watakaoumizwa, uawa, fungwa, siku hiyo Mange atajivisha lawama za ndugu wa waliopatwa na majanga?

Niwakumbushe tu ndugu zangu amani hailetwi na mtu yeyote kutoka nchi nyingine isipokuwa mwenye nchi mwenyewe, Tanzania hatujawahi kupitiwa na Vita ya wenyewe kwa wenyewe hivyo basi vijana wengi wamekua sasa hivi na hawajashuhudia mauji mbalimbali ndio maana wanakurupuka tu kuunga mkono hoja sasa mkae mkijua kuwa nchi yetu Tanzania ina udongo wa amani kiasi kwamba Hakuna mtu, kikundi cha watu, wala mkusanyiko wowote utakao tokea siku ya tarehe 26/04/2018 Mimi naona ni watu wanafanya burudani tu ya kujadili mapinduzi.

Tufanye kazi za maendeleo ndg zangu kuna marais madikteta jamani wananchi hawapumui lakini watanzania imefika hatua ya kutaka kujidanganya kumpindua Mh. Rais Magufuli kwa makosa gani aliyotutendea hapa nchini!!

Ndg zangu kataeni maandamano uchwara ambayo hayana hata baba. Anayemlipa mange pesa kwa kuhamasisha ujinga huu hatumjui, mnadhani mange anaweza kujitolea tu akae kutwa nzima kuwaandikia miongozo ya kuchafua amani bila kulipwa????
 
Akumbukwe rip Muammar Gadafi,hata hii amani na uhuru mdogo tulionao tusivichukulie poa majuto ni mjukuu jamani mtakuja kuelewa mtakuw mmechelewa.
Koma ww kumlinganisha Colonel Muamar Abdelnasseer Gamal. Gaddafi na upuuzi wowote,unazijua sifa zake na aliyoyafanya Libya na Africa kwa ujumla?Raia Hawa kujua kinachoitwa ukosefu wa ajira,kodi,gharama na takataka kibao,Walibya hawakuwa na sababu ila je hapa kwetu sababuzipo lundo.
 
Hakuna even a single evidance kuwa magu ndio muuwaji zaida ya kuwa mnafikirishwa kwa kutumia akili za watu wengine ambao wao miaka kadhaa nyuma walisema Lowasa fisadi na ushahidi wanao. Wanashindwa kutoa ushahidi hata wabunge wao wanavyonunuliwa zaidi ya kupiga kelele kama wanawake malaya. Nyalandu kahama haikusemwa kanunuliwa.
Ni kweli kabisa ccm walipofika inatosha lakini sio kwa sababu za kisenge kisenge wanazotuambia hao wapinzani. Hawaachi kutudanganya ili tuwaonee huruma wapewe kura coz siasa imewashinda.
Hata kipindi cha kikwete ilikuwa hivihivi. Shutuma kibao lkn hakuna hata moja zenye evidence.
Tuache kufikiria kwa kutumia vichwa vyao. Tutumie vichwa vyetu kuamua mustakabari wa nchi yetu. Wasidanganye kwamba wao wapo wengi kumbuka na hao kina magu nao wana watu wao ukiachana na askari. So wajipange hasa kuivuruga inchi sio kutuletea mifano ya libya, sirya. Sisi ndio tutakuwa wa kwanza kuivuruga inchi kwa akili za kushikiwa.
Kama kweli wana ushahidi kuwa Magu kamteka saa8, kampiga lisasi tl na shutuma zingine, wazilete kwa wananchi tuuamue.
Wewe nawe ni mtaji wa CCM. Keep digging and riding...
 
Vp kama watu wenye akili wakiongozwa na kichaa?
Kiukweli hawawezi kukubali lazima wachukue hatua

Hatua Ipi
Hivi movie Bado zinawadanganya??

Magufuli ni Rais Anaetambuliwa Na Watanzania

Wewe kinyago mmoja unataka nini?? pamoja na wenzio?

Magufuli for Change
 
Mbegu imeshazaliwa. Ogopa sana jamii ya vijana isiyo na uhakika wa kesho yao... Humohumo kuna wataalam waliokosa kazi, waliofukuzwa kazi nknk... Atatokea chizi mmoja ajitwike uongozi wa maandamano kisha itokee apigwe risasi afe na wengine kadhaa.... Moto unaoteketeza msitu huanza na cheche... Do not underestimate this movement
Unao waambia ni wana ccm hawawezi kukuelewa
 
Maandamano sio ujinga

Ujinga ni pale mwanaume unapoamua kumsikiliza mange nakumfanya kua kiongozi wako
No usiwalau, shida ni kuwa kuna issues mhimu hazijawa attended accordingly. Watu kuuliwa,kupotea, kutekwa,kulipuliwa na mabomu,.............eti wanao fanya matukio haya HAWAJULIKANI?????!!!!!.....Haya yote yanatia hasira. Magufuli must do his homework, mwenye hasira aweza kuongozwa na yeyote kuonesha hasira zake.
 
ikumbukwe Ni maandamano ya AMANI,otherwise ukipinga unahitaji middle finger Tu..!
 
Hatua Ipi
Hivi movie Bado zinawadanganya??

Magufuli ni Rais Anaetambuliwa Na Watanzania

Wewe kinyago mmoja unataka nini?? pamoja na wenzio?

Magufuli for Change
Kuna watu wanakuwa na maana na thamani wanapokuwa wafu kuliko wazima...at least wakiwa,wafu wanaongeza rutuba ya ardhi...but mkiwa wazima mnaijaza na kuichafua dunia kwa ushuzi wa mawazo na vitendo...
 
Mbegu imeshazaliwa. Ogopa sana jamii ya vijana isiyo na uhakika wa kesho yao... Humohumo kuna wataalam waliokosa kazi, waliofukuzwa kazi nknk... Atatokea chizi mmoja ajitwike uongozi wa maandamano kisha itokee apigwe risasi afe na wengine kadhaa.... Moto unaoteketeza msitu huanza na cheche... Do not underestimate this movement
Sio kwa Tanzania
 
Waziwasilishe wapi na kwa staili ipi? Tokea mwaka 1961, CCM inasema inajipanga tu, mara kasungura kadogo. Lakini, viongozi wanaokuja na kuondoka, wanazidi kunawiri tu.

Yaani nchi inajipanga tokea mwaka 1961 ambapo Tanzania ilikuwa kiwango kimoja cha umaskini na China, South Korea na Singapore. Leo China ina-run dunia kifedha, Tanzania bado inajipanga tu. South Korea wanatawala soko la electronics na magari pia, Tanzania inajipanga tu. Singapore, wazungu wanamininika tu kutafuta kazi na maisha mazuri, Tanzania bado inajipanga tu.

Hakuna hoja ya kuwakilisha tena. Kila kitu kimeshajaribiwa, lakini haya majambazi ya CCM, hayajawahi kusikia.

Ingawa siungi mkono hii movement ya Mange, ipo soft sana kutumika dhidi ya muuaji Magufuli, lakini people's revolution ndiyo njia peke iliyopo kuionyesha CCM kwamba, basi imetosha.
Fanya kazi kwa bidii usitegemee wanasiasa watabadili maisha yako
 
Mkuu umeongea point zenye mashiko sana...
Yanaweza yasifanyike sasa ama yakawa hayana tija kwa sasa..

Mbegu ya mbuyu huwa in ndogo sana na hukua taratibu kisha humea na kustawi..
Uongozi usipuuze hii movement hata kidogo...
Hii mbegu iliyopandwa inamea taratibu..
Na ubaya ni kwamba mengi ya matakwa ya haya maandamano watu wanayashuhudia kwa macho yao..
Mange hajawafundisha kitu kipya, amewakumbusha tu kitu ambacho wao wanakiona kwa macho yao....



Never ever underestimate this
 
Back
Top Bottom