Recent content by Virginia Hall

  1. Virginia Hall

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Kila nikitaka kutoa ushuhuda mzito kuhusu suala hili najikuta nafsi inasita sana. Kama uliyoandika yote yana ukweli, nakusihi upumzike tu na ukubaliane na matokeo halisi, jikubali usihangaike.Mimi mwenzio Nina ushuhuda mzito sana kuhusiana na tatizo kama hill, bado mazingira hayajakaa vizuri...
  2. Virginia Hall

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ndugu yangu ambaye ni hakimu anataka kunitapeli mirathi

    Microsoft Suala lako hili limeishia wapi? Nataka kujua kwa sababu Nina rafiki yangu ambaye pia anakabiliwa na tatizo kama lako
  3. Virginia Hall

    JamiiForums Tanzania Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

    Hii ni Ibara Ndogo ya 6 ndani ya Ibara ya 144 ya Katiba ya JMT, Kwa mujibu wa Ibara hiyo ya 144(6) ya Katiba ya JMT, Prof Assad hawezi tena kurudi Chuo Kikuu kuendelea kufundisha na wala haruhusiwi tena kuteuliwa au kuendelea na Utumishi was Umma Serikalini.
  4. Virginia Hall

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameagiza Ifakara kuongezewa Kata na Halmashauri

    Je mji wa Kidatu na Mkamba utakuwa chini ya Halmashauri ya Mji wa Ifakara au itajuwa chini ya hiyo Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero/Mlimba? Ikiwa chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero basi itakuwa janga kubwa sana, kuna umbali mrefu sana hadi kufika makao Makuu ya Wilaya, takribani 180km
  5. Virginia Hall

    JamiiForums Tanzania Nauza shamba langu heka 50

    Shamba bado lipo au tayari umeshaliuza?
  6. Virginia Hall

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya Wilaya ya Kilombero

    Suluhisho sahihi ni kuwa wilaya ya Kilombero igawanywe ili zipatikane wilaya mpya tatu kwani ni kubwa sana: 1.Wilaya ya Kilombero-Makao Makuu yawe aidha Mang'ula au Kiberege. 2.Halmashauri ya Mji was Ifakara-Makao makuu yake yawe mjini Ifakara. 3.Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba-Makao yake...
  7. Virginia Hall

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa hekari 8

    Weka namba zako za simu
  8. Virginia Hall

    JamiiForums Tanzania Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

    Kwa jinsi JF ilivyo kwa wachangiaji wake kuikosoa sana serikali, upon uwezekano mkubwa kuwa ma-spy tayari wamekuwa infiltrated katika mrandao huu wa JF, wapo miongoni mwa system administrator was JF na wanafanya kazi pamoja na Maxense Mello
  9. Virginia Hall

    JamiiForums Tanzania Huu udhalilishaji wa matajiri kwa wafanyakazi wao utaisha lini?

    Bujibuji Who is this? Matusi mwanzo mwisho? Khaaaaa!
  10. Virginia Hall

    JamiiForums Tanzania Guinea: Wananchi waandamana kupinga Rais Conde kuwania muhula wa 3

    Msemo was kuwa Waafrika tumelaaniwa, yawezekana una ukweli ndani yake.Kwa mini viongozi wengi was Afrika wanataka kufia madarakani?
  11. Virginia Hall

    JamiiForums Tanzania Shamba lenye hati linauzwa mkuranga bei poa

    Hath miliki ya hill shamba ni moja tu, je hao wanunuzi wote wa hill shamba umewapatia hati miliki? Naona kama kuna dalili ya utapeli hapa
Back
Top Bottom