Nauza shamba langu heka 50

Nauza shamba langu heka 50

Joined
Sep 8, 2018
Posts
84
Reaction score
67
Habari wakuu, nauza shamba langu heka 50 kila heka Kwa 600,000/= lipo kijiji cha nyatanga - Kimanzichana ni km 12 kutoka Barabara kuu hadi kufika Shambani, barabara haisumbui Kwa vipindi vyote. Karatasi za umiliki ni za serikali ya kijiji. Shamba linafaa Kwa kilimo na ufugaji, maji yapo karibu sana.
IMG_20180817_135709.jpeg
IMG_20180817_135342.jpeg
IMG_20180817_131555.jpeg
IMG_20180817_130456.jpeg
IMG_20180817_135154.jpeg
IMG_20180817_134838.jpeg
 
Habari wakuu, nauza shamba langu heka 50 kila heka Kwa 600,000/= lipo kijiji cha nyatanga - Kimanzichana ni km 12 kutoka Barabara kuu hadi kufika Shambani, barabara haisumbui Kwa vipindi vyote. Karatasi za umiliki ni za serikali ya kijiji. Shamba linafaa Kwa kilimo na ufugaji, maji yapo karibu sana. View attachment 887149View attachment 887150View attachment 887159View attachment 887154View attachment 887155View attachment 887156
Shamba bado lipo au tayari umeshaliuza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom