pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
shamba lenye ukubwa wa ekari 71 lilikopo mkuranga(Msolwa) shamba lipo sehemu nzuri kuna kiwanda na shule private karibu, upande wa kusini na mashariki kuna kijimto kidogo ni pazuri pia kwa wapenda kilimo na ufugaji bei kwa kila ekari moja ni milion moja tu si lazima uchukue zote waweza nunua ata eka tano ukichukua nyingi mapunguziańo yapo shamba liko suveryed na documents zote halali zpo kwa mwenye uhitaji chek me whatsapp 0763772636