habari za wakati huu wana jf natumaini ni wazima na mnaendelea vizuri na majukumu yenu
moja kwa moja kwenye mada mimi nikijana umri 20`s nimechaguliwa kusomea sheria kwenye ngazi ya degree mwaka 2017/2018 katika chuo fulani hapa nchini
naweza sema hii ilikua ni ndoto yangu nasio kwasababu ya...
sidhani kama leo kutakua na kitu bora tukafanye mambo mengine tu
kama nawaona vile walioomba vyuo viwili au kimoja na D‘s zao hadi huruma
tusubirie labda kesho tena..............
*virginboy*
wa tz hatupendi kuambiwa ukwel sirikali haina pesa kama sivyo bombadia yetu ungekuta imesha lipiwa ikaja maana baba jeska anavyopenda sifa mmmmmh kwahyo preparation ni muhimu
*virginboy*
humu MMU kumejaa story za uongo na zakutunguka we “Beira Baby Boy” kila siku unakuja na mpya mara hivi mara vile skunyingine ukirudia ni viboko
*virginboy*
soma maandiko mkuu yakutoe upumbavu mwanamke amefananishwa na pambo kwenye bible na maana ya pambo ni kitu ambacho kinakupa furaha muda wote ukikizama kwa uzuri wake
iv utaridhika kula wali nyama kila siku??? nooooo siku nyingine inabidi ule ugali ule ndizi na nk, hivyo hivyo kwa wanawake...
me sipo kwenye ndoa na sigemei kwa kipindi hiki labda baada ya miaka 10 baadae
nikija kwenye mada mimi naona hiyo heading yako ingekaa hivi “kama wewe ni mwanamke huna ndoa basi hujapata raha ya dunia” sababu mimi naona mwanamke akiolewa kwanza inamjengea heshima kubwa pia anakua ametimiza...
unaambiwa iv mtu mfupi ndio aliegundua ngazi kwahyo hata wenye vibamia nao wanamautundu yao ambayo wengine ambao tuna mihogo hatuijui na sio dhambi anapamba na hali yake
Lakini kunabaadhi ya wanawake kichwani hakunakitu yaani mnakaa mnaanza kuadithiana mnavyo liwa hizo papuchi loooooh...
kama kweli unataka ushauri wa kuokoa ndoa yako sema ni sababu ipi imefanya abadilike (hii ni lazma unaijua) tutakupa ushauri wa kukata matawi wakati shina na miziz ipo kwenye mkondo wa mto
*virginboy*
source ikowapi ya huo utafiti wako???
hoja yako ni dhaifu sana mimi ni mmoja nilie lelewa na mama tu lakini alinilea katika misingi mizuri na yenye maadili
mambo ya kuchezea kichapo na kuoga matusi source yake sio u-single mother inategemea na mazingira manayoishi na tabia za wazazi wenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.