NIMECHAGULIWA KUSOMA SHERIA katika chuo fulani hapa tanzania kwa yeyote mwenye ushauri KARIBU

virgin virgin

Member
Sep 27, 2017
33
25
habari za wakati huu wana jf natumaini ni wazima na mnaendelea vizuri na majukumu yenu
moja kwa moja kwenye mada mimi nikijana umri 20`s nimechaguliwa kusomea sheria kwenye ngazi ya degree mwaka 2017/2018 katika chuo fulani hapa nchini
naweza sema hii ilikua ni ndoto yangu nasio kwasababu ya kufuata mkumbo hivyo basi kwa yeyote mwenye ujuzi wa taaluma hii namkaribisha kunipa mawazo,mbinu mbali mbali za kusoma,ushauri ,maoni na chochote kile hata povu pia ni sawa

Natanguliza shukurani zangu kwenu chuo tunafungua tarehe 30/10/2017

KARIBUNI
 
Back
Top Bottom