Kuna kukosa mkopo anza kujiandaa kisaikolojia

amos eglan

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
310
462
Habari zenu wana jukwaa napenda kuwashauri kitu madogo wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu haswa wa masomo ya sanaa kwamba mjiandae kisaikolojia pindi mkikosa mkopo au wazazi na ndugu waanze kujipanga mapema lipitishwe bakuli mje kukaza
Maana shida huja pale kila mtu anapofikiri kwamba kwa kuwa ameomba mkopo basi atapata tu

Madogo hii bodi ya mkopo ni pasua kichwa maana kila siku inaleta vigezo vipya.Nadhani masekeseke ya mkopo mmeyasikia wenyewe muda mwingine kupata ni zari tu

Sasa Kama unataka kusoma jiandae tu kupambana na hali yoyote itayotokea Kama ni pasi ndefu a.k.a mlo mmoja ,watoto wa kike siku hizi madanga hamna hali imekuwa ngumu muanze donation mapema Kama familia na ndugu jamaa siwatishi lakini napenda kuwapunguzia maumivu lolote likitokea
Ushauri tu
 
Habari zenu wana jukwaa napenda kuwashauri kitu madogo wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu haswa wa masomo ya sanaa kwamba mjiandae kisaikolojia pindi mkikosa mkopo au wazazi na ndugu waanze kujipanga mapema lipitishwe bakuli mje kukaza
Maana shida huja pale kila mtu anapofikiri kwamba kwa kuwa ameomba mkopo basi atapata tu
Madogo hii bodi ya mkopo ni pasua kichwa maana kila siku inaleta vigezo vipya.
Nadhani masekeseke ya mkopo mmeyasikia wenyewe muda mwingine kupata ni zari tu
Sasa Kama unataka kusoma jiandae tu kupambana na hali yoyote itayotokea Kama ni pasi ndefu a.k.a mlo mmoja ,watoto wa kike siku hizi madanga hamna hali imekuwa ngumu muanze donation mapema Kama familia na ndugu jamaa siwatishi lakini napenda kuwapunguzia maumivu lolote likitokea
Ushauri tu

acha kukatisha watu tamaa wewe madogo wote laZima wapate kwani wewe ndo unaepanga mikopo stop assuming weka reference hapa tuone
 
Mkuu nahisi unaongea kitu ambacho haukijui vizuri.
Mleta mada kaongea kitu cha ukweli kabisa.
Utakuwa mnafiki mkubwa kama umepita chuo kikuu na unabishia kitu kilichozungumziwa na mleta mada.
Narudia tena wacha unafiki
 
acha kukatisha watu tamaa wewe madogo wote laZima wapate kwani wewe ndo unaepanga mikopo stop assuming weka reference hapa tuone
668e5abe8cd85f1821be6a818b20a388.jpg
 
wa tz hatupendi kuambiwa ukwel sirikali haina pesa kama sivyo bombadia yetu ungekuta imesha lipiwa ikaja maana baba jeska anavyopenda sifa mmmmmh kwahyo preparation ni muhimu
*virginboy*
 
acha kukatisha watu tamaa wewe madogo wote laZima wapate kwani wewe ndo unaepanga mikopo stop assuming weka reference hapa tuone
Labda kama unawapa wewe. Na huku sio kukatisha tamaa ni kuelezana ukweli watu wajiandae. Tatizo tuna unafiki wa asili na huwa tunafikiri tatizo linaepukwa kwa kulikana.
 
Back
Top Bottom