Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,425
- 72,314
Hahaaaa saa nyingine watu wanaandika kimikogoKweri>>KWELI
Hahaaaa saa nyingine watu wanaandika kimikogoKweri>>KWELI
anhaa labda najua wanakosea ndio maana narekebishaHahaaaa saa nyingine watu wanaandika kimikogo
hata Men pia wanahusika mkuume sipo kwenye ndoa na sigemei kwa kipindi hiki labda baada ya miaka 10 baadae
nikija kwenye mada mimi naona hiyo heading yako ingekaa hivi “kama wewe ni mwanamke huna ndoa basi hujapata raha ya dunia” sababu mimi naona mwanamke akiolewa kwanza inamjengea heshima kubwa pia anakua ametimiza ndoto yake ya miaka mingi na mengineyo ila kwa mwanaume ndoa ni kama kitanzi yaani unajitundika mwenyewe kwanini???.........
vipi ushabeba mimba ya yule jamaa mwenye mke?Aya
me pia nasubir majibu
Bado nawazavipi ushabeba mimba ya yule jamaa mwenye mke?
Heeeee!!! Kumbe haujaolewa bado kesho nakuja tuyajenge ili tusipitwe na ssAya
me pia nasubir majibu
swali la msingi sanaNi raha zipi anazopata aliye katika Ndoa ambazo asiye na Ndoa hazipati?