Recent content by Vinci Dayot Upamecano

  1. Vinci Dayot Upamecano

    Mgeni lawama

    Kuishi na ndugu mwisho ni one week, baada ya hapo atafute utaratibu mwingine.
  2. Vinci Dayot Upamecano

    Je wajua haya!?

    Hivi Kwani mifupa ndo mishipa eeh!?
  3. Vinci Dayot Upamecano

    Natafuta kazi ya ualimu masomo ya English na Geography

    Si ndio nyie nimesikia kazi zenu zimetangazwa!? Au we hupendi Mambo ya Halmashauri?
  4. Vinci Dayot Upamecano

    Wastani wa kipato cha mafundi kwa mwezi

    Unaleta dharau kwa sisi fundi nguo sio? Sasa mbona hujatu'mention!!
  5. Vinci Dayot Upamecano

    Asanteni wana Kawe, wana Mapinga Bagamoyo, Watanzania na Hodi Kampala na Uganda

    Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer... [emoji2]
  6. Vinci Dayot Upamecano

    Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

    Haita kuwa issue sana maana hata video za 30 Sec watu wana'ignore tu.
  7. Vinci Dayot Upamecano

    We mbaba unaacha ngapi ya mezani?

    Sie wapemba twaenda kwanza kavukavu, saa nne saa tano twarudi na Mchele, Samaki, Mafuta na viungo tele kisha ntaacha isiyozidi Alfu tano ya dharula.
  8. Vinci Dayot Upamecano

    Ushauri kwa msanii Harmonize

    Mh I'm big African super star, From mtwara city boy go far. Pretty morning baby see them cars, Na hazina pakukaa and I got this far. And I was born Leader, Yaani kifupi nazijua shida. Kusimangwa kutukanwa kwangu kawaida naona barida. This, Yes they call me boss, Kama hautaki sikuforce I love...
  9. Vinci Dayot Upamecano

    Upewe billion moja au free ticket ya kuingia mbinguni

    Jua kwanza maana ya Mbinguni mdogo wetu...
  10. Vinci Dayot Upamecano

    A Father Figure (AFF) - Albamu mpya kutoka kwa Dizasta Vina/Black Maradona

    Hivi unajua kuwa, kuna watu hawajui kama Hatia VI tayari inapatikana kwenye platform(s) zote kwasasa. Mbali na hilo, pia kuna watu hadi leo hii bado hawajaiskiliza ngoma nzuri sana za Dizasta Vina kama; -Achia jala FT Kaa la Moto -Wachezaji wa timu -A father figure -Money etc... Lakini sawa...
  11. Vinci Dayot Upamecano

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Somo zuri sana chief, ila mimi Kuna option ya "Win to nill" huwa sijawahi kuielewa kabisa, naomba ufafanuzi hapo.
Back
Top Bottom