Kwa kua wameacha nafasi kwa ajili ya mabasi ya mwendokasi itasaidia pakubwa watu kufika vibaruani na nyumbani mapema.. RRONDO achana na hao wahandisi mwitu kwao hamnaga jema hata ingejengwa kama wanazopendekeza wangekuja na utumbo mwingine
Hili tukio limenikumbusha jamaa flani South walimteka mamba mmoja kutoka Limpompo river wakimtuhumu kumla mbuzi wao aliekua amefungwa pembezoni mwa mto huo kwa malisho..
Baada ya jamaa kufuatilia na kugundua mamba huyo ndo anahusika na uhalifu wa kuawa kwa mbuzi wao walitengeneza mtego...
Ni mtoto pekee anaeanza kupevuka akiwa kaanza kujihusisha na makundi ya uvutaji wa bange ndo anaweza kusema EPL ni bora kuliko La Liga.. Kama Wazaramo wa Ulaya(England) walivyotaka kutuaminisha kua kitimu chao kina ubora wa hali ya juu kuweza kuchukua World cup msimu huu ndivyo wanavyotuzuga kwa...
Baadhi mnaficha Uhananga na uzunyazunya kwenye kivuli cha ujuzi wa umeme na mazingira.. Napata hisia hii MTK itakua kifupi cha matako kama watoto wa siku hizi wanavyofupisha maneno kwenye jumbe zao wanapochati.. Sio kwa ijuaji huu
Nchi nzima ya Peru ilithibitisha kua timu yao ilifuzu kwa nguvu za waganga wa kienyeji so nadhani itakua heshima kwa Mh Mshana akiwa timu ya Peru sio Croatia
Hua naishia kuamini kua wapinzani hawapingi anachokifanya Jiwe kwa kua ni kibaya na hakina maana ila huenda kwa kutekeleza anayoyafanya watakosa hoja inayowaweka hai kama upinzani na mwisho wa siku watakufa kiasiasa
Kilimo kinahudumiwa na wizara karibu sita mfano wizara ya kilimo yenyewe, wizara ya fedha, wizara ya tamisemi, ardhi na makazi, miundombinu, wizara ya elimu, viwanda nk kwa hiyosio lazima yatengwe matililion ya bajeti kwa kilimo ndo kiendelee..
By the way nyie hamna mnalolitaka wala msilolitaka...
Kuna kipindi waliibuka jamaa flan wa G-Sport walishachukua game zote kubwa EPL kwa bei ndogo sana hadi Dstv akabaki hoi anatembelea kiuno kana Penguin na vi mechi vya Derby County na Middlesbrough.. Sema mtikisiko wa uchumi wa 2008 ukaenda nao ila walishamuelekeza machinjioni Dstv, binafsi...
Nimefatilia nimegundua na we ni fan wa Messi so nakuheshim kwa hili, tuyaache kila mmoja aamin anachokiamin.. 13/06 nalipia king'amuzi karibu sana tumshuhudie huyu mungu wa mpira katika umbo na sura ya binadam akifanya miujiza kwa Putin
Nchi iko kwenye uwekezaji wa miundo mbinu mikubwa ambayo baadae itawezesha kupatikana mapato na mishahara itaongezwa maradufu.. Kama kusifia ujenzi wa reli, vyanzo vikubwa vya umeme na miundombinu mingine ni ujinga basi utakua na maana nyingine ya neno ujinga..
Cha kukushauri ni kua uache...
We una stress.. Kwani nani hakusoma kwa mfumo huo unaoulalamikia, lakini si bado wanafanya mambo na wanajikwamua kimaisha.. Unahitaji mfumo gani wa elimu kujua kua natakiwa kujishughulisha ili kupata riziki yangu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.