INDONESIA: Wanakijiji wawaua Mamba takribani 300 wakilipiza kiasi baada ya mmoja wao kuuawa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
13c1b5a0446b4448a88b26303c2ad839_18.jpg


Wanakijiji wakiwa na visu, mapanga na nyundo wawaua Mamba takribani 300 ikiwa ni hatua ya kulipiza kisasi baafa ya Mwanakijiji mwenzao kuuawa na Mamba

Mwanaume huyo mweye umri wa miaka 48 aliingia kwenye sehemu wanakofugwa Mamba hao kwa lengo la kuchuma majani kwaajili ya mifugo yake

Mamba ni kati ya viumbe wanaolindwa kwaajili ya urithi wa dunia na kwa nchi ya Indonesia taasisi moja ilijenga sehemu maalumu huko katika Jimbo la West Papua kwaajili ya kuwafuga

========

The death of a man at a breeding farm by a crocodile prompts a slaughter of hundreds of protected reptiles by villagers.

The farm has a licence to breed protected saltwater and New Guinea crocodiles [Antara via Reuters]
Indonesian villagers armed with knives, hammers and clubs have slaughtered 292 crocodiles in revenge for the death of a man killed by a crocodile at a breeding farm, according to an official.

Photographs released by Antara news agency on Sunday showed a large pile of bloodied crocodile carcasses in the Sorong district of the eastern Indonesian province of West Papua.

The head of Indonesia's Natural Resources Conservation Agency in West Papua said that the 48-year-old victim had entered the crocodile farm and was likely picking grass for animal feed when he was attacked.

"An employee heard someone screaming for help, he quickly went there and saw a crocodile attacking someone," Basar Manullang said in a statement.

After the burial of the man on Saturday, villagers entered the farm and killed all the crocodiles, said Manullang.

Manullang said the farm had been given a licence to breed protected saltwater and New Guinea crocodiles in 2013 for preservation and also to harvest some of the reptiles.

One of the conditions was that the reptiles did not disturb the community, he said.

"To prevent this from happening again, farming licence holders need to secure surrounding areas," said Manullang.

He said his agency was coordinating with police in their investigation.

"Crocodiles are God's creatures that need to be protected too," Manullang said.


Source: Al Jazeera
 

Attachments

  • IMG_20180716_131550.jpg
    IMG_20180716_131550.jpg
    47.9 KB · Views: 35
Wanakijiji hawakutenda jambo jema kwani hawa ni viumbe kama walivyo binaadamu wenyewe. Ukizingatia huyu mwanakijiji ameingia eneo tengwa la wanayam hawa(zoo) tena bila hata mlinzi kujua kwa maana hiyo hakukua na sababu za kuwauwa hawa mamba. Labda kuwe na sababu nyingine zaidi ya hiyo nitaelewa.
 
uonevu tu huo na mob psychology,hao mamba wako kwenye hifadhi hawakuingia ndani ya kijiji jamaa kawafuata mwenyewe.hapo wamefaidisha wachina tu wauza na walaji wa hyo nyama
 
Hili tukio limenikumbusha jamaa flani South walimteka mamba mmoja kutoka Limpompo river wakimtuhumu kumla mbuzi wao aliekua amefungwa pembezoni mwa mto huo kwa malisho..

Baada ya jamaa kufuatilia na kugundua mamba huyo ndo anahusika na uhalifu wa kuawa kwa mbuzi wao walitengeneza mtego wakamkamata wakamfunga vizuri wakaomba msaada kwa washkaji zao kijijini wakampeleka nyumbani kwa ndugu hawa na kilichoendelea ilikua ni jamaa KUMUINGILIA KIMWILI MAMBA HUYU maana alikua jike

Jamaa walimgeuza mamba kua demu wao mpaka pale mamlaka zilipopata taarifa na Kuwaibukia pale na kuwakamata washikaji wote kwa kosa la kukutwa na nyala ya serikali kinyume cha sheria

Kwa mshangao jamaa walihoji ni vipi wakamatwe kwa kumuadhibu mamba aliekula mbuzi wao badala wapongezwe maana waliwaokoa wanakijiji na mifugo yao dhidi ya mamba huyu mla vya watu!

Hata hivyo jamaa wabaka mamba walipelekwa pia hospitali kupimwa kama hawakupata maambukizo maana kaka mtu anadai yeye pekee ndo alikua akikumbuka kutumia KONDOM wakati wa shughuli nzima ya kumbaka(kumuadhibu) mamba Hugo..

Baadhi ya wanawake waliishauri mamlaka kuwaongezea wabaka mamba kesi ya udhalilishaji wa kijinsia na shambulio la aibu dhidi ya mamba

Usicheze bwana hii dunia wababe bado wapo.. Indonesia wabishi wamewakalisha mamba 300, Africa watemi wakamuoa mamba kibabe
 
Back
Top Bottom