Tazara Flyover...!

Tazara Flyover...!

Hii fly over inaweza kuwa msaada kimawazo,ila katika uhalisia tatizo la foleni kitabaki palepale....mana magari yatakuwa yanaumana sana upande wa kushukia,mfano kuelekea uwanja wa ndege sehem ya kushukia pale magari yatakuwa yanakutana kwa wingi halaf mita chache mbele kuna msongamano,unatarajia nini?.....
Hili ni daraja la "presitige" tu kama ni foreni no work done....kwanza ni fupi sana kuzuia magari kutokana......mita kadha kuna mataa ya traffic mara 3. kuelekea uwanja wandege ambayo yatafanya magari ya subiriane tena.
 
Kwa kua wameacha nafasi kwa ajili ya mabasi ya mwendokasi itasaidia pakubwa watu kufika vibaruani na nyumbani mapema.. RRONDO achana na hao wahandisi mwitu kwao hamnaga jema hata ingejengwa kama wanazopendekeza wangekuja na utumbo mwingine
 
Na isitoshe ukishafika Majumba 6 foleni inaanza upya ukizingatia kule banana kuelekea ukonga barabara ni njia moja can u imagine wingi wa magari yanapita tazara kwenye fly over then yaje kukutana Vingunguti,Jet,Aiport,Njia panda ya segerea then banana doooh...hope walioamua kujenga hilo dude wamethink Positive
 
We sasa unaleta siasa....
 
Yatapungua kwasababu wamekata muda wa kusubiri yatokayo mjini kwenda airport. Yaani sasa hivi hawatasubiri sana kwasababu ya town-jnia yanapita juu.
Hivi unajua traffic police anaweza kuzuia nusu saa ili upande mmoja upite? Hio nusu saa yanakuwa yamepita magari mengi sana
Unaweza kuwa sahihi lkn effectiveness itakuwa ndogo sidhani kama kutakuwa na significant change, ngoja tuone.
 
Hili ni daraja la "presitige" tu kama ni foreni no work done....kwanza ni fupi sana kuzuia magari kutokana......mita kadha kuna mataa ya traffic mara 3. kuelekea uwanja wandege ambayo yatafanya magari ya subiriane tena.
Hii ni negativity.
 
Na isitoshe ukishafika Majumba 6 foleni inaanza upya ukizingatia kule banana kuelekea ukonga barabara ni njia moja can u imagine wingi wa magari yanapita tazara kwenye fly over then yaje kukutana Vingunguti,Jet,Aiport,Njia panda ya segerea then banana doooh...hope walioamua kujenga hilo dude wamethink Positive
"Rushing for political fame" au kukurupuka, bila upembuzi ya kinifu kubaini haswa chanzo na muendelezo wa foreni katika sehemu hiyo. Ndo ungojwa wetu wa Tz
 
Wewe unaamini Japan wametoa huo mkopo/msaada bila kupitia au wao kufanya upembuzi yakinifu wao? Hivi kwanini tunapenda kujifanya tuna akili kuliko hata wataalam wanaotekeleza hio miradi?
 
Back
Top Bottom