Recent content by vidodi

  1. vidodi

    JamiiForums Tanzania Kwa wasio oa, ukiendekeza sana wanawake utajikuta husaidii wazazi wako

    Hasa Mama?kwani katika hii Dunia umeletwa na Mama peke yake?
  2. vidodi

    JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli amemtembelea Odinga ili kumtakia heri katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC)

    Hivi umesoma hiyo habari kwa undani ukaielewa?sidhani kama kila thread kulalamika namna hii itasaidia uwezo wa kushindana na Serikali hauwezi so ni bora kila mtu apambane na life tupate ugali wa wanaotutegemea maisha yaendelee na mleta thread English imemuacha mbali sana alichokiandika na habari...
  3. vidodi

    JamiiForums Tanzania Tangu mwaka 2017, naona kama hakuna international hit song yoyote toka marekani

    MJADALA UFUNGWE UMEMALIZA KILA KITU
  4. vidodi

    JamiiForums Tanzania NMB mshahara umeingizwa?

    Unafanya kazi kwa wahindi labda salary imeshakata tayari wewe unakuja na ngonjera za kijingajinga
  5. vidodi

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

    Aisee na wewe umekuwa Ms*** sasa kila kitu Mama Abdul Mama Abdul
  6. vidodi

    JamiiForums Tanzania Jaydee anastahili heshima lakini asipewe sifa za uongo

    Soma comments za wadau utaona ni namna gani umeandika uchafu wa kutosha
  7. vidodi

    JamiiForums Tanzania Yanga Tupunguze Maneno, Jana hatujashinda Goli hata moja, kuna cha kujifunza hapa

    Tuliza kalio na maoni yako hayajapokelewa
  8. vidodi

    JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi zipo juu sana

    Sema wewe ndio una maisha magumu au uchumi unakusumbua kuna watu wanaendelea kushusha mijengo kwa uchumi huu tulionao ujenzi ni akili yako,kujibana na kuamua kila kitu tutalaumu tu Kizimkazi kizimkazi amka pambana maisha yenyewe mafupi
  9. vidodi

    JamiiForums Tanzania Bongo Movie wanapataje hela?

    Unajibiwa unaanza maswali
  10. vidodi

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tunakubaliana Casemiro sio tatizo?
  11. vidodi

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mhhhhhh
Back
Top Bottom