mimi mwenzenu nilipewa kimemo nimpelekee mkubwa pale makao makuu nikafundishwa na kichaga kidogo cha kujibia salamu..nimefika pale jamaa kanisalimia kichaga nikamjibu alipotaka kuingia zaidi nikamwambia mimi ni meku mwenzake ila sijaishi sana uchagani muda mrefu..akaniambia nisubirie tu barua ya...
Ndugu unaposema kuwa watu wanaoogopa UDOM watawafunika hapo ndo unapokosea..kama suala ni kufunikana,itachukua zaidi ya miaka 200 kwa UDOM kuvifunika baadhi ya chuo hapa nchini..kumbuka kuwa chuo siyo majengo..ni msingi wa kitaaluma uliopangwa kwa muda mrefu..haiwezekani chuo rais anatoa ahadi...
wapi na gazeti gani?na walitoa sababu gani?sidhani kama kuna mtu anaweza kutangaza kazi akaweka exceptiona l ya udom..tatizo ni nini?ubora wa elimu au?kutambulika kwa chuo kimataifa?sababu za kisiasa?tunataka tufafanuliwa ili tujue sababu ni ipi tuweze kuchambua kwa weledi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.