The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 256
- Thread starter
- #21
Duh kumbe ni kweli,basi hili jambo inabidi lipingwe vikali,graduates wa udom ni wazuri tunawafahamu,wapewe ajira kama wanafunz wa vyuo vngne!Kwa uelewa wangu juu ya mambo ya elimu,kinachofanya product ya chuo fulani ikubalike sokoni ukiacha mambo ya propaganda ni Waalimu walio na sifa stahili (lecturers),Vifaa vya kujifunzia vinavyokidhi mahitaji na ubora,condusive learning env. na kubwa zaidi muda wa kutosha wa mazoezi kwa vitendo (field attachment,Internship etc).Swali la msingi UDOM inakidhi vyote???? manake tusidhani kua kuwa na majengo mazuri mabweni yenye viyoyozi na maprofesa wengi ndio vyaweza kufanya Institution flani kua reputable na wahitimu wake...kama ndo mtazamo wetu huo basi tunahitaji mtaalamu wa kutufundisha namna ya kufikiri......manake hata ukasoma degree kwa 6 yrs bila practice you are full of academics but no practical skills!
nawasilisha.