M Mwana Mnyonge JF-Expert Member Mar 3, 2011 518 448 Jul 22, 2011 #1 Wakuu mambo vipi hawa jamaa wa pspf wameshaita au bado naomba kuwasilisha mtaani pagumu ndugu zangu
V victorjane Member Dec 2, 2010 23 2 Jul 22, 2011 #2 mmh pale..umefanya maandalizi ya kuchakachua?au jina lako la mwisho yaani la ukoo linabebeka?
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,038 10,684 Jul 22, 2011 #3 Hizi za juzi tu,sidhani kama watakuwa wamesha short list.