Recent content by victor kay

  1. V

    JamiiForums Tanzania CUF waibana ZEC Zanzibar

    inakela sana
  2. V

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Umetumwa wewe si bure
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kama NEC wataitisha uchaguzi leo unadhani kura yako angepata nani?

    lowasa wetuuu atuachiiii kukupendaa!
  4. V

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kununua vifaa vya desktop

    mkwawa upo vizur but naomba unisaidie hili if nina lptp ya cpu core i3 nina ni dell latitude e5510 naweza ku upgrade kwenda core i5 na 7 au
  5. V

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya kama kijiji

    tz akuna jiji kunamifano ya jiji afu we unalingia dar kwani dar kwenu na wewe si wakuja tu ebu sema kwenu harisi ni wapi zn tuendelee
  6. V

    JamiiForums Tanzania Kuliko ucheze na Waarabu bora ucheze na Shetani.

    tushakunywa saba mpila bado kuisha tunaweza kuanza wiki ya pili hivi hivi
  7. V

    JamiiForums Tanzania KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    kiukweli gemu imenishinda nilikuwa naangalia nilipofika idadi ya magoli 7 nikaona wiki imeisha nisije nikaanza na wiki ya pili nipo macho huuyo chumbani kulala. mta nijulisha waungwana kama tulianza na wiki ya pili
  8. V

    JamiiForums Tanzania Barabara mpya ya Morogoro (STRABAG) inavunjwa

    safiii sana tunatakiwa kuisoma namba mbaka akili zitukae sawa ni mbele kwa mbele naupenda sana uo msemo ni mzuri
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    ana lolote mtoa post umeagizwa yalimshinda ya trl na tzr atayaweza ya uwaziri mkuu acheni unafki na issue ya mabehewa feki nani asiye jua
  10. V

    JamiiForums Tanzania ITV wanapotosha matokeo ya uchaguzi

    Lubuva amekuwa mtangazaji wa itv kwani
  11. V

    JamiiForums Tanzania Wosia wa mwisho kwa vijana wa Kitanzania

    TAIFA LINAKUPENDA WAPIIIIIIIIIIIIII:hand:
  12. V

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Uchaguzi Zanzibar hauna mahusiano na uchaguzi wa Rais wa Jamhuri

    natafru viza hii sio nchi yangu niliyo pangiwa na mungu nilipotea nchi gani inawatu wasiojielewa hivi mtu anaongea upuuzi eti kisa mapenzi ya chama anampa bg up si utoto huu
  13. V

    JamiiForums Tanzania CCM kukata rufaa kwenye majimbo 4, yalaani Wafuasi wa UKAWA kuchoma moto ofisi za CCM

    ulimsikia mbowe akiwaambia nendeni wanadai haki yao wenyewe sasa hilo nalo ni la kujiuliza jitambue m tz
  14. V

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    ndivyo ilivyo pale mkubwa anapopigwa akubalikushindwa anaona bola wakose wote
Back
Top Bottom