Mbugi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,488
- 258
MHHH!! hapo mumepitiliza mie nilizani ungeniambia kutokuwa na hotel nzuri na sehemu ya chakula (variaties) kama anavyosema mtoa mada kwa upande mmoja kunaonyesha ustaarabu wa wakazi wa mbeya kutokuwa na michepukoMbeya ni mji wa kipuuz kama alivyosema mtoa mada. wao wanapenda sifa za kijinga tu lakini opportunities zipo ukizingatia upo njia panda ya MALAWI, ZAMBIA/ZIMBABWE/CONGO DR lakin kinachoiangusha mbeya ni UCHAWI narudia tena UCHAWI halafu ukiwakuta jumapili wanajazana makanisani utafikiri kweli wacha Mungu kumbe sanaa tu.