Recent content by Vicent Goodluck

  1. V

    JamiiForums Tanzania Bwana Kiranga atakuwa mhubiri mzuri wa habari za Mungu hapo baadae

    Nyie mnaosema hayupo tunaomba mthibitishe hayupo,,, Thibitisha Mungu hayupo,,
  2. V

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linaudhi sana...

    Ndio lakini wakopeshaji wengine wanataka mpaka vote ID,, Cha utaifa, uraia umpe ili ushindwe kumzunguka
  3. V

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linaudhi sana...

    Anaachiwa na pin mshahara ukitoka anakata chake na riba,, inakera sana Mkuu hii kitu Japo kuna Changamoto ya wafanyakazi wengine kutoa hela kupitia mobile money service ,,ukitoka tu anatoa yote anakuambia bado hawajaweka,, unatakiwa ujue kutime ukitoka mnawahiana kwa wale ambao siyo waaminifu,
  4. V

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linaudhi sana...

    Kweli Mkuu,, unakuta una mshahara wa 500,000/= unakopa laki tatu kwa mtu,, dhamana inakuwa kadi ya bank, mshahara ukitoka anakata yake anakurudishia kadi yako Maisha mengne yanaumiza sana,, basi tu
  5. V

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linaudhi sana...

    Ndio,, ukiwa na shida ufahamu unakimbiaga wakti mwengine
  6. V

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa vivazi: Dada etu nae yumo!

    Kuna kitu nimekiona,
  7. V

    JamiiForums Tanzania Kama mpenzi wako wa kike anaishi dar maeneo haya..be carefully..

    Mbezi hakuna shida mtafiti,,!!
  8. V

    JamiiForums Tanzania HDMI to VGA CONVERTER

    OTG ndo nini tafadhali!
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Mungu ni mwema kwa wote,, Wale mlio kuwa mnaiwinda billion moja poleni
  10. V

    JamiiForums Tanzania Malapulapu ya Mbwa wanakula wanadamu, sasa mbwa atakula nini?

    Watu wa mjini baadhi yao ndo wanakula utumbo wa kuku , miguu ya kuku , mapafu ya ngombe,, mfumo wa uzazi wa ngombe jike wanakula pia, vichwa vya kuku kama kiteweo,, Unakuta sufuria limejaa miguu ya kuku, vichwa na mapafu ya ngombe yanaelea elea tu, Lakini ni maisha tu na sis wa mkoani...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Viunga vinavyobamba Dodoma

    Nenda kaoshe tu,, ndo ukubwa huo ukimaliza njo hapa maeneo karibu na ya ofisi za mauzo za tigo,, nikwambie kitu changu,,,
  12. V

    JamiiForums Tanzania Viunga vinavyobamba Dodoma

    Nina uhakika wa 100% hunujui,, na mm sipo teari kukutana na mwana JF yoyote yule,,
  13. V

    JamiiForums Tanzania Sikujua majibu ya kipimo cha HIV yanaweza kunitoa jasho hivi

    Kwahiyo tukuite jina baya hivi eti,
  14. V

    JamiiForums Tanzania Viunga vinavyobamba Dodoma

    Afu nakujua vyema,, but Kikubwa ni kuheshimiana na kuwa na mipaka ya JF ni JF na hapa mjini ni ya hapa mjini Usiofu,, kuwa na aman tele,,
  15. V

    JamiiForums Tanzania Viunga vinavyobamba Dodoma

    Nachukua chumba p. a. h. I utanikuta,, tuje tupumzke weekend ndo hi sasa,,
Back
Top Bottom