Vicent Goodluck
Member
- Oct 7, 2018
- 61
- 69
Barabara ya tisa vitumbua bagia huwa sikosi, chako ni chako kwa zai
Njo Kenya lodge tuyajenge,,
Barabara ya tisa vitumbua bagia huwa sikosi, chako ni chako kwa zai
njoo nikupe chumba ukae town kabisa barabara ya kumi na moja achana na mambo ya kukaa lodgeNjo Kenya lodge tuyajenge,,
njoo nikupe chumba ukae town kabisa barabara ya kumi na moja achana na mambo ya kukaa lodgeNjo Kenya lodge tuyajenge,,
njoo nikupe chumba ukae town kabisa barabara ya kumi na moja achana na mambo ya kukaa lodge
njoo nikupe chumba ukae town kabisa barabara ya kumi na moja achana na mambo ya kukaa lodge
Njo tuanzie hapa tupate moja mbili tatu hivi,,usiwe na hofu mambo mazuri ni taratibu,,
njoo nikupe chumba ukae town kabisa barabara ya kumi na moja achana na mambo ya kukaa lodge
Mimi hayo hapana natangulia kwa zai naagiza makange kuku mzima na pepsi baridi utankuta hapa
Mimi hayo hapana natangulia kwa zai naagiza makange kuku mzima na pepsi baridi utankuta hapa
sawaAfu nakujua vyema,, but Kikubwa ni kuheshimiana na kuwa na mipaka ya JF ni JF na hapa mjini ni ya hapa mjini
Usiofu,, kuwa na aman tele,,
JF,huwa nashindwa kupaelewa cuz ukileta topic za Dsm kila mmoja anashuka as if yupo Dsm na ukileta topic ya Dom kila mmoja anaoneka ni mkazi wa Dom,the same case to Mwanza,Arusha etc!Wote mmegomzi mje huku chimbo la toroka uje karibu na gheto la east zoo kwa ngwair ni marder kuna vyumba mpaka vya buku 2 kwa vyuma vya utawala huu nahisi ndio kunafaa sana
Mkuu wanaume watafutaji hatuna makazi kokote kambi.JF,huwa nashindwa kupaelewa cuz ukileta topic za Dsm kila mmoja anashuka as if yupo Dsm na ukileta topic ya Dom kila mmoja anaoneka ni mkazi wa Dom,the same case to Mwanza,Arusha etc!
Sure,nimewahi piga mishemishe maeneo ya Mvumi Mission ila,Dom kubaya sana Jombaaa!Mkuu wanaume watafutaji hatuna makazi kokote kambi.
Kubaya ila kuna watoto wakaleSure,nimewahi piga mishemishe maeneo ya Mvumi Mission ila,Dom kubaya sana Jombaaa!
Nami nakujua vyema ujue, sasa wewe utankuta chako ni chako kwa zai ndo nipo hapa ccm naelekeasawa