Viunga vinavyobamba Dodoma

Viunga vinavyobamba Dodoma

Bado sana hadi waifikie dasalamu
Aliyekwambia tunahitaji kuifikia Dar nani? Sisi tunajenga Jiji letu kivyetu hata hizo ramani zenu hatuzitaki, jiji la kiangazi, masika vinyesi Jiji zima! ukisikia mafuriko Dodoma Ni kwamba hatuna jinsi sio yenu ya kujitakia, subiri muone. niishie hapo
 
Sawa, ila hawa kuku nliotafuna nawalipaje?nakutegemea ujue njoo uokoe jahazi kabla sijapelekwa kuosha vyombo.
Laiti angejua anakosa vitu vitam asingesema hivyo
 
Aliyekwambia tunahitaji kuifikia Dar nani? Sisi tunajenga Jiji letu kivyetu hata hizo ramani zenu hatuzitaki, jiji la kiangazi, masika vinyesi Jiji zima! ukisikia mafuriko Dodoma Ni kwamba hatuna jinsi sio yenu ya kujitakia, subiri muone. niishie hapo
Do

😀😀😀😀
 
Sawa, ila hawa kuku nliotafuna nawalipaje?nakutegemea ujue njoo uokoe jahazi kabla sijapelekwa kuosha vyombo.

Nenda kaoshe tu,, ndo ukubwa huo ukimaliza njo hapa maeneo karibu na ya ofisi za mauzo za tigo,, nikwambie kitu changu,,,
 
Pale makole barabara ya mahakama oppsite na gabby lodge kuna kbanda kona niliagiza pilau hatariii.chips n mshikaki ya kuku nomaaa ndio sehmu yagu ya kula kila sik siku hizi.wanapaita siju i kwa tambwe.jamaa noma siju mpemba yule.anajua kupika sna
 
Sehemu za ku-hang out;
Rainbow (Semi classic)
Pestina (Classic)
Platinum(Pa kawaida)
Ongeza.....

Club
Maisha
Club 7
Ongeza......
 
JF,huwa nashindwa kupaelewa cuz ukileta topic za Dsm kila mmoja anashuka as if yupo Dsm na ukileta topic ya Dom kila mmoja anaoneka ni mkazi wa Dom,the same case to Mwanza,Arusha etc!
Unaweza usiwe mkazi wa eneo tajwa but u have been there kwa muda fulani ambao umekufanya kujua vitu vya msingi!
 
Back
Top Bottom