Hili jambo linaudhi sana...

Hili jambo linaudhi sana...

Aliyekwambia huyo ni MWALIMU ni Nani? Huyo ni mkopeshaji wa riba kubwa, hapo wadeni wamemwachia ATM Cards kwa riba ya 30%permonth na inatozwa mseleleko. Hiyo ndo hali ya watumishi wengi nchini.
Duh!
 
Ivi hapo sio kosa la jinai kweli kukutwa na Atm card za watu wengine ukitoa hela kwenye acc zao,,,,
 
Back
Top Bottom