Recent content by Vetinari

  1. V

    Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

    Ashikishwe adabu kwa sababu kafanya kazi jeshi la Qatar au kuna sababu nyengine?
  2. V

    Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

    Ana miliki hiyo apartment tu au kuna ma vyengine anavyovimiliki?
  3. V

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    Waziri Maige anasema hivi kwenye gazeti la Kiswahili Mzizi wa fitina kuwa ana nyumba mbili au moja, umeisha chanzo
  4. V

    UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

    Tofautisha kosa la 'ubakaji' na 'kujihusisha na ngono na minor' Usichanganye
  5. V

    CHADEMA tumuunge mkono W Malecela

    Septuu Nassor wa Zanzibar ni mtoto wa Samia Suluhu huyu Waziri [?] CCM ni watoto na familia za waliopo madarakani mwanzo mwisho *Update Sie huyo mwanawe, mwanawe Samia Suluhu ni Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
  6. V

    Hiki ndio alichosema Diamond baada ya Wema Sepetu kuzungumza kwenye XXL

    Wema alipoambiwa na DJ Fetty kuwa "Kupitia BB, Diamond amethibitisha kuwa ulienda kwao" uso ulimchupa. DJ Fetty akaamua kuipotezea tu....(chanzo: YouTube)
  7. V

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Modified version of "kum@dada'ke"
  8. V

    JF kwenye Tapatalk ya iphone 3gs haifunguki

    Yeah haifunguki kwa Tapatalk...imekuwa udhia kweli kweli
  9. V

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    Mkopo wa nyumba wa DR.Slas ulikuwa kiasi gani?
  10. V

    Mh spika nywele zetu zikumbuke basi!

    Hahaha yaani umenichana mbavu. Mzazi ujumbe huo!
  11. V

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Na hao wenye Ukimwi wasije kupewa kikombe cha dawa wakadhani weshapoa wakaambukiza wenzao. Watu wawe na tahadhari. Linaweza kugeuka janga hili tukajuta
  12. V

    When one tells you,he didn't love you...uwiiiiiiiiiii

    Wasi wasi wangu Mbu ni kuwa keshawahi hata kutamkiwa kuwa hapendwi, lakini akafumbia macho. Mpaka jamaa kaamua kutema kavu kavu. Wanawake wakipenda wanafikiri na wao wanapendwa kama vile wanavyopenda, na hata wakipewa ukweli wataubadilisha tu.
  13. V

    When one tells you,he didn't love you...uwiiiiiiiiiii

    Inawezekana akawa keshawahi kukwambia kwa njia nyengine wewe ukawa huamini. Nazungumza kwa experience hapa, nishamwambia mtu kistaarabu kuwa kwangu naona ni mistake kuwa naye, lakini anatafuta kila sababu za kupinga hiyo kauli na kuzidi kujisogeza karibu na familia yangu. Hebu jaribu kaa...
  14. V

    When one tells you,he didn't love you...uwiiiiiiiiiii

    Dada pole sana kwa yaliyokukuta Lakini amini Mungu mtu anaweza kuishi na mwengine miaka kadhaa bila ya kumpenda na akitaka kumwambia akakosa courage. Na siku akimwambia ndio anashindwa kuisema vizuri inatoka kavu kavu. Na madhali alikuwa akijilazimisha kuishi na wewe japo hakupendi, alikuwa...
  15. V

    Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)

    Pasco Kama tunavyomkataza Mohamed kujumlisha watu wote kwenye chungu kimoja ndio tunapaswa kufanywa na sisi wachangiaji. Tutofautishe Waislam Wa Tanganyika na Zanzibar kwa mfano. Zanzibar iliyokuwa na asilia karibu 100 ya Waislam hawakuwa na madrasa tu. Na walikuwa na wasomi Wa kutosha kabla...
Back
Top Bottom