Recent content by vesta

  1. vesta

    Tetesi: Rais Karia atatangaza kujiuzulu TFF ndani ya saa 24, sababu kuu ni kuikumbatia Azam TV

    Sijui mleta mada hilo halijui au ni suala la uelewa wake mdogo.
  2. vesta

    Kuna dalili kwamba Ukraine anampa kipigo kikubwa Urusi baada ya USA kujitoa kumsadia na Ulaya kumruhusu kuwapiga Warusi ndani ya mipaka yao!

    "na Putin ameanza kutuma askari majeruhu uwanja wa vita, wengine wakitembelea magongo." Hii imenifanya mpaka nicheke sana
  3. vesta

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mi pia nawaza hivyo. Hilo jambo liliwahi kunikuta. Na kweli roho iliniuma sana kupita maelezo
  4. vesta

    Ni kweli Allys anamfanyia fitna Katarama au ni stori ya vijiweni?

    Ukiangalia kwa makini unaona katarama anafanyiwa sana hujuma. Anayemfanyia ni Allys ? Hapo sina hakika.
  5. vesta

    Naombeni code nikipigiwa Simu nisipatikane

    *21*No# Hapo kwenye no andika no yako yoyote ambayo haiko hewani
  6. vesta

    Heche anadai Wabunge walilipwa Tsh milioni 272 za pensheni

    Nadhgani hoja ni kuwa wabunge wanalipwa mshahara mkubwa kwa kazi ndogo wakati mtu anatumika sana tena kwa muda mrefu lakini maslqhi hakuna
  7. vesta

    Arusha: Pale kwa Mromboo nimelishwa nyama ya nguruwe

    Na mimi nimejiuliza hivyo hivyo. Ninavyojua mimi bei ya kitimoto iko juu zaidi ya mbuzi na ng'ombe
  8. vesta

    Jitihada zenu zimezaa matunda, haya hongera zenu

    Inonga alivyomchezea Sureboy foul mbaya, alitumwa na nani?
  9. vesta

    Kampuni gani inakopesha pikipiki?

    Watafute Watu Credit, wana ofisi Mwenge, Tegeta na Mwanza
  10. vesta

    Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

    Kama hiyo sms ingekua na ujumbe wa kutoa tozo ningejisikia vizuri sana
  11. vesta

    Cedric Kaze vipi boss mbona Yanga imepunguza kukaba kitimu na kwa nguvu?

    Johan Cruyff alisema "To win you have to score one more goal than your opponent."
  12. vesta

    Mitaa ya Tegeta mabomba yanatoa Maji yenye matope, tatizo ni nini?

    Mpaka naenda ya Kinondoni ni tope tupu
  13. vesta

    Nchi ya Oman yaikana meli iliyopitia Tanzania kuleta gesi Kenya

    As long as gas ina viwango vyote hatujali inatokea wapi
Back
Top Bottom