johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Wangetoa taarifa haya matope bill imesoma Ujuwe!Kuna ukarabati mapinga na boko
Wangetoa taarifa haya matope bill imesoma Ujuwe!Kuna ukarabati mapinga na boko
Kwahiyo bomba likipasuka ndio linasafirisha matope badala ya Maji?Bomba lilipasuka pale kwa shehe omary mapinga kwenye shell ya engine.karibu na mlima wa kupanda kerege.
Muulize yule mbunge wako P atakujibu🤔Yangu jana usiku hadi leo Maji ya bomba siyo masafi yana tope
Tatizo nini?
Lipa TU au wewe SII mzalendo,au unajitenga na wanakijani hivyo🤔Wangetoa taarifa haya matope bill imesoma Ujuwe!
Hatari sanaMpaka naenda ya Kinondoni ni tope tupu
Manzese ni tope tupu huku Kila siku messeji kumi za kukutishia kukata maji ukichelewa kulipaYangu jana usiku hadi leo Maji ya bomba siyo masafi yana tope
Tatizo nini?
Hivi Aweso yupo kweli?Manzese ni tope tupu huku Kila siku messeji kumi za kukutishia kukata maji ukichelewa kulipa
Kwa Tz hii unaweza kuta dawa ya kuondoa tope Aluminium Sulphate washauziwa wenye swimming pools
Ujanja woote wa hapa Jf ulionao bado unaishi madongo kuporomoka?Yangu jana usiku hadi leo Maji ya bomba siyo masafi yana tope
Tatizo nini?
Hahaha........pole sana!Ujanja woote wa hapa Jf ulionao bado unaishi madongo kuporomoka?
Kwa muda huu afya za watumiaji si zishakua hatarini? Waziri wa maji awajibishweHuenda kuna sehemu wamemaliza kufanya marekebisho, tope litaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye nini bwashee?Tumia maziwa