Jamii imeendekeza tabia hizi mbaya, misemo kama "ukipata nafasi itumie" "ukipata nafasi piga hela kijana' sio ngeni masikioni kwa watu wa hapa mjini! Hao hao watakapokua kwenye hizo nafasi, madili hayakosekani. Jamii kwa ujumla imefeli, maana watoto wanakuzwa kujijali wenyewe na kupuuza watu...
“Cha mtu mavi” ni methali fupi lakini kali sana ya Kiswahili. Haimaanishi kinyesi halisi; inazungumzia ubinafsi na dharau kwa mali, haki au maslahi ya wengine. Kwa kifupi: kilicho cha mwingine huonekana hakina thamani, lakini changu ni cha thamani kuliko vyote.
Tafsiri ya kisaikolojia
Binadamu...
A very good idea, indeed! this is what we want our 'educated' people to come up with. Alas! it is a shame that this nice progressive ideas will never be realized in our lifetime. Just an example of reality is ICDs are increasing in the city but I digress...
Mwishoni sikubaliani na wewe
Ishu ni kuwa mwanaume kuwa na mwanamke lazima awe na uwezo kiuchumi
Wanaume wangapi wana nguvu ya kiuchumi ya kuwa na mwanamke na familia.
Vijana wengi mjini wanakimbiza upepo kama boda, deiwaka, vibarua na mawinga kariakoo.
Wanawake wengi wa mjini wamesoma au...
Pole kwa waathirika.
Moja kwa moja kwenye hoja.
Mwaka 1986 pale Urusi kulitokea janga kubwa la kinu cha nyuklia cha Chernobyl kulipuka.
Kutokana na uhaba wa wataaalamu na nguvu kazi wachimbaji wa makaa ya mawe waliitwa kusaidia kuokoa na kuepusha janga la mazingira lililokua tishio.
Hapa...
Mfano mzuri ni Kongo
Walipopata uhuru Patrice Lumumba ndiye alikua waziri mkuu na maono ya kulikomboa taifa lake kwenye umasikini.
Ila kutokana na mrengo wake haukulandana na wale 'maboss' basi alitumika Mobutu ambaye alikua mwandishi wa habari mwenye koneksheni kumpindua Lumumba na Kongo...
Unashangaa mtu anapombinya mwenzake kwa kumpa sifa za kijinsia. Tangu lini jinsi ikaamua utashi wa mtu?
Tabia hii inadhihirisha dharau na ujinga ndani yake pia!
Thamani ya mtu ni utu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.