Recent content by Vepaka

  1. Vepaka

    JPM utatuonaje tusio na pesa za kuwalipa waandishi wa habari ili utuone?????

    Kila siku nakikaa kuwaza hili najikuta nimezubaa bila kupata jibu, swali langu ni je sisi tusio na nafasi za kuteuliwa serikalini tutaonekana vipi mbele ya macho ya JPM? Ninauliza hivi kwakuwa kwenye vyombo vya habari wanaonekana mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa wilaya...
  2. Vepaka

    Nimechanganyikiwa, mke wangu na dada wa kazi wanasagana

    Pga kazi ya kutosha hadi akuone kaka yake, ataacha kufanya ivo
  3. Vepaka

    Aibu ujenzi wa Sakina - Tengeru highway

    Waziri wa ujenzi (Makame Mbarawa) ni muoga na anaelekea kuwa jipu
  4. Vepaka

    Meya Kinondoni: Makonda punguza Sifa, Fuata Taratibu

    Magufuli ndo anasababisha watu wajikombe kwake, so waacheni wakurupuke ntawakutanisha na Nay wa Mitego
  5. Vepaka

    How many pairs of pants do you have?

    1 tu nafua wakati wa kuoga naivaa ikiwa mbichi inakaukia mwilini, watu hawaoni mbwembwe zann?
  6. Vepaka

    Tukio la kutisha Mwanza mjini, usiku wa manane

    Hakuna nchi yenye wanaume waoga kama tz, ndo maana wanakojoa kwenye makopo.
  7. Vepaka

    Unazuia sherehe za Uhuru, unaadhimisha birthday ya CCM

    Sisiemu ni taasisi inayojitegemea, wanatumia pesa zao katika hilo na magufuli ni mualikwa tu, sherehe zinaandaliwa na katibu (kinana) na chair wake (jk wa pili) usichafue jina la magufuli mura.
  8. Vepaka

    Wasichana 'Town' wamekuwa addicted na magari, wataliwa sana

    Labda demu wa kijijini kwetu ndo anaweza akavua chupi kwa chips cuz hajawahi kuona gari zaid ya trekta, sio wa mjini
  9. Vepaka

    Wasichana 'Town' wamekuwa addicted na magari, wataliwa sana

    Mademu wa bongo vituko, anaweza akakataa nyumba ya 100ml lakini akuchukua gari ya 7ml.
  10. Vepaka

    Kubenea, wataje kwa majina wabunge wenu waliokatiwa shanga ili tukuamini

    Duuu akili za watu wengine zinafikiri maziwa tu.
  11. Vepaka

    Kama kuna wabunge jipu, basi sisi Ubungo tuna zaidi

    Acha hasira za kisiasa utakufa mapema, acha kubenea apete
  12. Vepaka

    Who is Heche Suguta?

    Ni wakili, haijulikani ni ujinga gani waliufanya kwenye kiwanda cha kusindika nyama za punda kilichopo dodoma.
  13. Vepaka

    Lowassa na Mbowe Wamesaliti Wakazi wa Dar; Wajitenga Mbali na Waathirika wa Bomoa Bomoa

    Sasa unataka lowassa na mbowe wazuie ubomoaji au wao wawajengee nyumba waathirika?
Back
Top Bottom