Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,638
Kubenea tuwekee hapa majina ya wabunge wako walikatiwa shanga bungeni na polisi.
Akiomba muongozo kutoka kwa mwenyekiti wa bunge mh chenge kubenea aliweka wazi kuwa wapo wabubunge wa upinzani ambao walikatiwa shanga na kuvuliwa nguo za ndani wakati wa zoezi la kuwatoa nje wakati walipofanya fujo bungeni.
Kwa kuwa kubenea aliwaona wabunge hao pamoja na shanga zao zikiwemo pia nguo za ndani kama alivyodai ifike wakati sasa kubenea atuwekee wazi majina ya wabunge waliokatiwa shanga akiwa anataja kwa jina la mbunge aina na rangi ya shanga zilizokatika pamoja na aina na rangi ya nguo za ndani za kila mbunge wake aliyevuliwa.
Mbali na hapo kubenea tutamuona mmbea mzandiki na juha wa ajabu sana kwa kuzungumza mambo ya uongo,kwako mzee wa shanga na nguo za ndani tunaomba wataje wabunge hao na shanga zao ili tukuamini.