Vepaka
Member
- Apr 1, 2012
- 25
- 8
Kila siku nakikaa kuwaza hili najikuta nimezubaa bila kupata jibu, swali langu ni je sisi tusio na nafasi za kuteuliwa serikalini tutaonekana vipi mbele ya macho ya JPM?
Ninauliza hivi kwakuwa kwenye vyombo vya habari wanaonekana mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa wilaya, na wakurugenzi wa mashirika mbalimbali, nakuonekana kwao ndiko kunafanya Rais awaone kuwa ni wafanyakazi bora, mfano kwenye zoez la usafi, anaweza akatokea mkuu mmoja kwenye eneo la tukio kwa muda wa dakika kumi tu, akarekodiwa na vyombo vya habari kuwa anafanya usafi au anasimamia usafi then akasepa, sasa je Afisa Mtendaji wa Kijiji au Kata tusio na pesa za kuwalipa waandishi wa habari ili tuonekane tufanye nini ili JPM ajue kuwa tunafanya kazi kubwa na ngumu huku mishahara yetu ikiwa midogoooo?