Recent content by Veni Vidi Vici

  1. Veni Vidi Vici

    Classic men dressing

    Hatujapata harufu ya unyunyu......hicho ndio kilichokosewa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Veni Vidi Vici

    Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Hongera sana mkuu, una kipaji kikubwa sana ambapo wengi wetu hatuwezi kusimulia kwa ufasaha kiasi hiki hata kama kisa kimetokea miaka miwili iliyopita. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Veni Vidi Vici

    Shamba linauzwa kijijini Magoza, Mkuranga

    Taja bei mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Veni Vidi Vici

    Uchaguzi CHADEMA: Anthony Komu ataka Mbowe apishe uenyekiti

    Huyo ni wale waliokimbia chama tawala baada ya majina yao kufyekwa 2015. Bado hajakomaa na kuweza kuaminiwa kiasi icho kushika iyo nafasi. Ila kama watafanya kama walivyompa mzee mamvi 2015 basi wakubali kutumbukia shimoni.
  5. Veni Vidi Vici

    Uchaguzi CHADEMA: Anthony Komu ataka Mbowe apishe uenyekiti

    Ukweli ni kwamba huyo aliyejitokea hafai, namfahamu vyema hana character nzuri, nilishakutana nae kwenye huduma flani ambayo iliniwezesha kumfahamu ni mtu wa aina gani. Kama chadema wanahitaji mabadiliko basi wawe makini sana na mrithi wa Mbowe.
  6. Veni Vidi Vici

    Nimefanikiwa kuiacha Pombe, Uzinzi Unaniandama kwa kasi ya 4g.

    Hii stori ndo imeishia hapa au umerudi tena kupiga ulabu ukasahau muendelezo?
  7. Veni Vidi Vici

    Bungeni: Spika Ndugai amsimamisha Stephen Masele uwakilishi wa Bunge la Afrika. Bunge limeteua mkaguzi kumkagua CAG

    Mangesho nadhani atakua ni yule lecturer wa udsm na udom enzi izo, tena alikua chini ya prof Assad enzi izo faculty of commerce
  8. Veni Vidi Vici

    Nikki wa pili aikashfu Biblia na hadithi ya uumbaji

    Anakengeuka huyu, au anatafuta approval kwa huyo demu wake
  9. Veni Vidi Vici

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    1:Shamba kiwangwa bago acre 40 full docoment kilomita 2:5 Acre 1,shilingi 600,000 Mazungumzo yapo unaweza kununua acre 10 milion 6 zote mazungumzo yapo: Naomba maelekezo ya hii mkuu?
  10. Veni Vidi Vici

    Weekend story! BEN 10

    Lara kubwa la maadui umepotelea wapi??
  11. Veni Vidi Vici

    Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumuua mpenziwe Mabibo Hostel

    Hii siku naikumbuka sana, na hili tukio lilitokea mida ya sana 8-9 mchana. Dah yani imechukua 10yrs hukumu kutoka Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Veni Vidi Vici

    Taxify ni kampuni hatari ya utapeli. Serikali inabidi ifuatilie upya

    Ni kweli kabisa hata mm imenikuta jana tu, range ilikua ni 4000 -6000 lakini ikaja kumi na moja, afu hakukua hata na foleni. Nilipatwa na mshangao ila sikujua pa kuliuliza hili suala. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Veni Vidi Vici

    Binti wakilokole anilazimisha niokoke

    Hajaokoka huyo ni mfanyabiashara tu, kwani ww ukishaokoka ndo utakua umefunga ndo umguse popote unapotaka?! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Veni Vidi Vici

    MC Pilipili asema mahari ya mchumba wake ni milioni 8

    Kwan huyo demu wake ni wa biashara au? Mbona kama anampigia promo? Huu ni ulimbukeni sana? Mahusiano ni yy na mtu wake yann kuyapeleka kwenye vyombo vya habari?! Afu naona kama ni mwanaume asiyejiamini Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Veni Vidi Vici

    Weekend story! BEN 10

    Stimu zishakata[emoji23]
Back
Top Bottom