mbona cmple tu...tupia macheni ya gold,pete za gold vidole vyote ikiwezekana mpaka vya miguuni vaa pia!jitahidi uimbwe imbwe sana katka bendi za bolingo,tafta wapambe uwe unawanywesha wao kazi yao iwe kukusifia tu,thn ukiwa una lafudh ya kikongo itakua poa zaid!