Ajali: Treni yaangusha Mabehewa maeneo ya Vingunguti

Ajali: Treni yaangusha Mabehewa maeneo ya Vingunguti

Reli zetu zinastahili kuwepo kwenye nyumba za makumbusho! Quote Rais Museveni.
 
jamani si nilisikia kuwa wanakarabati reli karibia wanafika tabora au!!!!!!!!!!
 
Ha ha ha ha.. wamesema viongozi wetu hivyo..

Mkuu usiwaamini sanaviongozi wetu!

Wakishaingia madarakani tu, hata kama ni maprofesa akili zao wanazivua na kubaki kama watu ambao hawajangia darasani!
 
Mkuu usiwaamini sanaviongozi wetu!

Wakishaingia madarakani tu, hata kama ni maprofesa akili zao wanazivua na kubaki kama watu ambao hawajangia darasani!

Ha ha ha ha.. Mkuu ninalijua hilo.. Umeshindwa kuona sarcasm kwenye sentensi yangu Mkuu..

Sifa kuu ya viongozi wetu ni sio kutosema ukweli tu.. bali ni waongo kwisha kazi.. Serikali imekuwa muongo namba moja..
 
Let's hope kuwa tutafanikwa kuipumzishwa ifikapo 2015....
 
Mkuu kwani walivyosema Desember walitaja na mwaka..?
Ndiyo walitaja. Tamko lilitolewa mwezi Oktoba (mwaka huu) na kusema kuwa itakuwa tayari kuanza kazi ndani ya miezi mitatu. Kwa hesabu zangu za ngumbalu mwisho wa miezi hiyo mitatu sana sana inaweza kwenda mpaka Januari 2015 si zaidi ya hapo. Lakini mada haikuwa hiyo.
 
Khaaa kumbe treni bado inapita ktk baadhi ya mikoa!???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom