January alisema kwa matokeo tuliyopata had I sasa tuna viti 176,na tunaelekea shinda tutakapopata matokeo rasmi. Tofauti na matamshi ya seif. so usihusishe tamko La January na Maalim at different.
Yegoo nyangeta wanyweee jipilya ja ESCROW?
Kwa hiyo we ulitaka acpate sapoti au unadhani CCM a.k.achama cha mamburula kitamsapoti? Lazima aende kwa wajua vi2 wampe kampani...
Mke c wako, ulimtafuta mwenyewe na sio ndugu/wazazi walikuchagulia,na si unadhan kutoka moyoni mnapendana? sasa why! usimshirikishe? Kama unaweza mshirikisha rafiki iweje ushindwe mke anayekuandalia chakula,lelea watoto? Cha muhimu mke awe rafiki asiwe baby hilo ndo tatizo!
Daah! binafsi nimeoanisha hoja ya Nguruvi3 na udadavuzi wa MCHAMBUZI hakika kuna haja za zzk kufafanua hili jambo tena,sitaki amin hoja zimeletwa kwa upinzani. To be frank he and his team are doing a good job on ESCROW issue lakini atatue huu utata basi hata baadaye kama sasa yupo engaged.
Heshima kwenu wanajamvi,
Mwenye uelewa wowote kuhusu quality ya batchelor of education inayotolewa na university of Arusha ile unayosoma kipindi cha likizo{JUNE-JULY&DEC-JAN}. Niarifu tafadhali.
Asante!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.