Kimbembe kwa walipa kodi, watakao beba mzigo kupitia tozo mbali mbali zitakazoletwa na serikali.walio madarakani wengine hata kodi hawakatwi pamoja na mishahara mikubwa .
Kadhi mkuu ndy anatakiwa kuwa mlalamikaji,
Au ilani ya chama chetu iliyoahidi kuanzisha mahakama ya kadhi haijaanzisha mpaka leo? Wanasubiri kampeni zianze watoe tena ahadi??
Serikali inawajibu wa kulinda uhai na haki ya raia wake, kama watu wanatekwa, kupotea na kuuwawa na mwenye wajibu wa kuwalinda amekaa kimya inadhani bado haina tuhuma?
Na kutuhumiwa siyo lazima waitaje kuwa serikali imrfanya hivi au vile kitendo cha kiongozi wake kutuhumiwa tayari ni serikali...
Ni suala binafsi, ushoga hauambukizi ( non contegious) so mtu akiamua kufanya ushoga ni yeye. ushoga wa mtu unakuathiri vipi wewe ambaye hufanyi ushoga?
Wanatumia mbao za box za nyanya kutengeneza sofa unatarajia nini?
Mi nikitaka sofa tunakubaliana bei unanunua mbao ninazotaka na godoro ninalotaka mimi hutaki dili limekufa
TUache ushabiki na siasa tutazame ishu ya Lissu kurudi kibinadaamu,
Alichopitia Lissu inahitaji zaidi ya moyo wa kibinadaamu (Kumbuka Lussu ni binadamu) kurudi kwenye eneo lile lile uliponusurika kifo ikiwa waliojaribu kukuua wakiwa bado wapo na uwezo na mamlaka ya kufanya hivyo tena.
B
Bado na zile zinazobebwa kwenye begi kwa ajili ya kugawa,
Kuna zinazogawiwa hadharani kuwahadaa wadanganyika kwamba bwana yule anahiruma na shida zao,
Barabara 6km inajengwa mwaka mmoja na nusu? Na 4.5 inajengwa ndani ya mwaka mmoja!!!
Kuna tatizo mahala, huu uzinduzi ulifanyika baada ya ile kiki ya kuomba hela za ujenzi wa hospitali ya Ubungo na mtu moja kusema kwamba wabunge wa upinzani hawawatei wananchi wao, baada kushambulia ubungo...
Nadhani hakuelewa malekezo ya Rais, aliagizwa kutatua changamoto za upatikanaji wa Vitambulisho nchi nzima ikiwemo kufungua ofisi kila wilaya akishindwa aanza kuliwalipa gharama za malazi wananchi wanaotoka wilayani kuja mikoani kufuatilia vitambulisho, sasa kwenda na vitambulisho 24 elfu ndy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.