Recent content by Vee94

  1. V

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Watoto wadogo (under 18) kusoma Biblia bila uangalizi wa Mwalimu wa dini?

    Mimi naungana na wewe cause kama angekuwa anasali angejua hata watoto chini ya under 18 wana simplified bible yenye picha kuweza kuwavutia kusoma
  2. V

    JamiiForums Tanzania Makazi ya Mungu ni yapi? Yupo katika umbo lipi? Kwanini hakuna tangible proof ya uwepo wa Mungu

    Adam na Eva walipata mtoto mwingine anaitwa Seth
  3. V

    JamiiForums Tanzania Namba yako ya simu unayotumia sasa ulianza kuitumia mwaka gani?

    2015
  4. V

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Kiingereza njooni tusugue kichwa kidogo hapa

    She was born again in 1975 and died on the same year!
  5. V

    JamiiForums Tanzania Pambanua ndoto, maono na ulimwengu wa roho

    Amina Nashukuru sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
  6. V

    JamiiForums Tanzania Pambanua ndoto, maono na ulimwengu wa roho

    Na ukiota ndoto ndani ya ndoto unaota kavile umepooza kwa muda, unajaribu kuongea kwa nguvu unashindwa, unajaribu kujigeuza haiwezekani, badae unakuja kushtuka tu.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

    Victoria Secret
  8. V

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Asante sana, nakuja pm
  9. V

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Wakuu naomba mnisaidie kuhusu equity and merit scholarships, interview zao zikoje.. zinacover nini na nini?
  10. V

    JamiiForums Tanzania Hivi Halotel mna shida gani?

    Hata mimi inanisumbua kwa kweli
  11. V

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mwanao kuadhibiwa shuleni mbele yako?

    Jamani kasema hakuitwa alienda kumchukua mtoto shuleni
  12. V

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mwanao kuadhibiwa shuleni mbele yako?

    Maisha yamebadilika sikuizi hatuwezi kulazimisha kulea watoto kama sisi tulivyolelewa.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa App ya kudownload Miziki kwenye iphone

    Asante sana, ngoja nifanye hivyo
  14. V

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa App ya kudownload Miziki kwenye iphone

    Hello wanaJF, Natumaini mko poa, naombeni mnambie app nzuri ya kudownload miziki kwenye iphone, natumia audiomack lakini sa nyingine nimependa wimbo flani nikienda kuusearch kule siupati. Asanteni
Back
Top Bottom