Bima ya afya nzuri ya kutibiwa hospital nzuri za pirivate

Andres

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
501
791
Wakuu Habari za wakati huu?

Kwa muda mrefu Niko natumia Bima ya afya ya NHIF ya serikali ya kawaida hii, ni nzuri Kwa sehemu yake. Ila Ina changamoto kidogo Kuna hospital hawaipokei mfano Aga Khan nk.

Sasa nataka nifahamu options ya bima nyingine ambayo naweza kuitumia sehemu kama Aga Khan, Saifee nk. Na gharama zake, na Je, Ina limits gani za huduma? Mfano Kwa wajawazito Ina cover huduma zote?

Sorry typing error ya juu hapo
 
Mkuu ingia mtandaoni watatafute watu wa bima like jubilee, strategy huko utapta mchanganuo unaoutaka easy tu
Shukrani mkuu, nilipendelea consumer experience kwanza maana hawa wauzaji mara nyingi wanafichaga taarifa kwenye lumbesa
 
Upande wa gharama nadhani NHIF ni bora zaidi ila Jubilee ni bora kwa huduma.
 
Watoaji Bora kwa bima za afya ni jubilee, strategies na Assemble Insurance (mwanzoni walikua wakiitwa AAR+) Kama ushawah kuona mahospitalini. Mfumo wa bima za afya huenda sambamba na KIWANGO CHA PREMIUM/ADA PAMOJA NA BENEFITS/FAIDA AU TUSEME HUDUMA ATAKAZOPATA. Hio inamaanisha sio kila coverage utakayochukua au kukatia itakusaidia kwenye hospital yoyote. Cha kwanza kabisa kabla hujaenda kwenye hizo kampuni kwa ushauri wangu kama kweli unataka utibiwe hizo hospital basi usiwe na premium chini ya million 1.2+ otherwise kampuni zote utaona ni wahini.kwann nasema hivyo;

Gharama ya vipimo na kumuona dactari kwenye hospital kubwa ni tofauti na hospital zingine. Unaweza kushangaa benefits zako zinaisha kabla hujapata hata dawa na matibabu(nimeeleza kifupi). So lazima ujipange mkuu.

Kuhusu kampuni jubilee+strategies imesambaa zaidi nchini na wana huduma nzuri ila Assemble Insurance Wana huduma Bora zaidi na licha ya kutosambaa nchi nzima Wana option ya wew kuomba hospital yoyote na popote ikupatie huduma as long as mtawasiliana nao na huduma Yao ni 24hrs. Unapokata pia NHIF au tuseme tu kampuni zote msingi kwanza kabisa angalia benefits then fanya maamuzi.

Hata hizo jubilee, strategies na Assemble Wana vifurushi vya bei rahisi kabisa mpk 300k+ lakini vinaminya benefits ambapo ukienda mfano Aghakhan utaishia kupata vipimo tu.
Yangu ni hayo machache
 
Mkuu shukrani sana Kwa maelezo mazuri na ye yenye uketo, na fkra tunduizi... nitalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom